Inawezekana Tanzania ikaenda tena Afcon endapo tu chama cha soka cha Equatorial Guinea kitashindwa kulipa faini waliopigwa shirikisho la mpira FIFA ndani ya siku 30.
Equatorial Guinea 🇬🇶 walipigwa faini ya kiasi €644,000 baada ya kushindwa kuwalipa makocha waliopita wa timu ya taifa ya wanaume na timu ya taifa ya wanawake Esteban Becker & Miguel Angel Pozanco.
Ikumbukwe Equatorial Guinea walikua kundi moja na Tanzania kuwania kufuzu Afcon 2021.