Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,395
- 2,391
Haina ubishi, kila mtu anaona timu zetu zote, kwanzia Taifa stars, Twiga stars, na madogo wetu Serengeti boys...
Tutaenda kombe la dunia kwa njia gani kama sio vitu maalum?[emoji849][emoji849][emoji849]??
Sa mkuu tusemeje mana hakuna hata m1 mwenye uwez, Afcon kwenyewe ni baada ya tim kuwa 24
Mkuu we acha tu ndo maana mi nikasema acha nijichekee tu maana hakuna namnaSa mkuu tusemeje mana hakuna hata m1 mwenye uwez, Afcon kwenyewe ni baada ya tim kuwa 24
Kuna mwehu moja asubuhi alidai eti Tz sasa iko juu East & central Africa . Tena akadai ni kwa kila kitu !!!Haina ubishi, kila mtu anaona timu zetu zote, kwanzia Taifa stars, Twiga stars, na madogo wetu Serengeti boys...
Tutaenda kombe la dunia kwa njia gani kama sio vitu maalum?[emoji849][emoji849][emoji849]??
Ila simba wamejitahidi sanaHaina ubishi, kila mtu anaona timu zetu zote, kwanzia Taifa stars, Twiga stars, na madogo wetu Serengeti boys...
Tutaenda kombe la dunia kwa njia gani kama sio vitu maalum?[emoji849][emoji849][emoji849]??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Itabidi tupeleke maombi FIFA mana itasaidi yale mataifa yanayoshindwa kufuzuMkuu we acha tu ndo maana mi nikasema acha nijichekee tu maana hakuna namna
Na kichwa cha thread yako mi nacheka yu hapa nikisubiri FIFA wapitishe ishu ya viti maalum
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Option ingine hii mzee babaTutegemee kuongezeka kwa timu za kufuzu kufikia 120 na timu zipangwe kikanda tena, eg, tz, kenya,burundi na komoro kundi g ndo kiulaiiini utatuona world cup
kote hakufai
Hakuna icho kitu sisi bado sanaKuna mwehu moja asubuhi alidai eti Tz sasa iko juu East & central Africa . Tena akadai ni kwa kila kitu !!!
Ujinga mtupu.
Sisi tunachoweza tu kunyanyasa raia wetu. Tena kwa kujifanya eti sisi super power.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! Sijui tunakosea wapi?
huko ugenini mbona wanacheza bila mashabiki hata ubingwa COSAFA walibeba? sidhani kama hilo ndio tatizo.Tatizo kubwa la watatnzania tunakuwa mashabiki wa vilabu,
Bila mashabiki Simba isingemfunga As Vita,Nkana Fc,Mbabane,Al Ahly hizi timu zote zilifungwa pale uwanja wa Taifa kwa sababu ya mashabiki
tunashindwa nini kwenda uwanja wa Taifa kuishabikia Serengeti boys kama tunavyoishabikia Simba ikicheza na Al Ahly?
Hiv Serengeti boys wangeshindaje bila mashabiki?
Siwalaumu vijana lakin....
Naunga mkono, labda angesema promo sio kubwa ka za simbahuko ugenini mbona wanacheza bila mashabiki hata ubingwa COSAFA walibeba? sidhani kama hilo ndio tatizo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tuombe kuandaa... Labda mwaka 2100!
!
Bashite Nguvu Gunia Akili Kijiko Kawekeza Kwenye Uhamasishaji. Wao Wakiona Mashindano Ndio Wanaanza Kujionesha Na Kuweka Siasa Zao. Na Tutapigwa Kudadadeki Hadi Basi. Labda Tuombe Kuandaa Kombe Ili Tupate Teuzi"
Hatuna uwezo wa kugombea bora FIFA waweke viti maalum kwa ajili ya wasioweza kupambanaWe jamaa yangu dah.., viti maalum wengi si wanasema ni michepuko..[emoji23][emoji23][emoji23] ?
Sasa timu ikiwa imeenda kwa viti maalum, hapo ime kaaje..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app