Tanzania leader reinstates minister sacked by predecessor

Heshima kidogo mkuu, kumbuka unamzungumzia Rais wa JMT. Hata mimi simkubali lakini cheo alichonacho kiheshimiwe.
Nafikiri watu hawajajifunza jinsi ya kumcriticize mtu bila kumvunjia heshima yake. Ukiachilia mbali kwamba Rais Samia anasimama kama alama ya heshima ya Tanzania, pia ni mtu, ni mama, na mtu mzima.

Huwezi kumvunjia staha mtu yeyote achilia mbali mtu anayesimama kama Rais wa Tanzania.
 
Uko sahihi kabisa mkuu, nakuunga mkono kwenye hili kwa asilimia zote.
 
Some correction must be done on the previous ministerial post for Makamba. The last time I checked on he was a state minister in the vice president's office in charge of union matters and environment and not deputy minister as it was written.
 
Most of these young leader lack experience, a good example is during magufuli tenure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…