Tanzania leads international air arrivals

Mwenye Enzi Mungu endelea kutubariki nchi yetu!
Pale wanapo laani wewe tubariki Mola wangu!
 
hii nchi dah!, arrival ni mafanikio? wanatoa visa zetu kifala sana kwa sababu wanazoziita za kitalii. mwisho tunaingiza watu wasiostahili kabisa kuingia humu
Duh kwa akili hizi chadomo hamtakaa mshike nchi, mtabaki kushika mimba au ukuta
 
mkuu mulisaaa kwahiyo kama dunia nzima wanapigania arrivals visa zetu zitolewe tu kwa kila mtu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…