Tanzania linked to $30m Korean banking scandal

Rev. Kishoka

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
4,526
Reaction score
1,540
Haya bado inaelekea Tanzania na hasa BOT hawajawekwa sheria kali kuhusu fedha na uhamishaji na upokeaji wa fedha!

Halafu angalia, wanaofanya uchunguzi na msako ni Polisi na si kamati maalumu ya Raisi wa Korea!

Hee, Jamani, Kila penye ufisadi, TANZANIA ipo. Hili ni koja kubwa. Imekuwa ni kama chumvi katika mapishi.....
 
Haya bado inaelekea Tanzania na hasa BOT hawajawekwa sheria kali kuhusu fedha na uhamishaji na upokeaji wa fedha!

Halafu angalia, wanaofanya uchunguzi na msako ni Polisi na si kamati maalumu ya Raisi wa Korea!

Te he-he-heh !

.
 
Hii inaonyesha jinsi gani nchi yetu haina regulations zozote mpaka watu wa nje wanaitumia kufanya machafu yao ya money laundering. Inasikitisha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…