Tanzania losing DRC to Kenya

Cicero

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2016
Posts
2,924
Reaction score
3,074
Warning shots fired. The just elected President of DRC is a Kenyaphile. Tanzanian diplomats liangalieni hili msikubali DRC, a long time ally of Tanzania, iingie kwenye sphere of influence ya Kenya!
 
Aisee fanyeni mambo yenu bila kuitizama Kenya na kungoja tudhubutu ili muige. Hakuna aliyewazuia kuchangamkia hizi fursa. Kenya hatuna 'common border' na DRC. Leo hii mkiamua kuchangamkia fursa kule S.Sudan hutawasikia wakenya wakilialia.
 
Hehehe!! Jamaa wanan'gaka balaa, wao wameishi kuzunguka mbuyu na hao majirani zao, sisi leo hii tunaunganisha bahari za Hindi na Atlantic
 
naona unaota ndoto za mchana
 
Hehehe!! Jamaa wanan'gaka balaa, wao wameishi kuzunguka mbuyu na hao majirani zao, sisi leo hii tunaunganisha bahari za Hindi na Atlantic
Walijiona lulu walipokuwa wakiwazingua wahafidhina wa ukoo wa Kabila. Leo hii kumeibuka nyota mpya Tshisekedi ambaye ana nia ya kuchukua mkondo mpya . Anafanya kweli jombaa, hana muda wa longolongo na ukajanja wao.
 
Warning shots fired. The just elected President of DRC is a Kenyaphile. Tanzanian diplomats liangalieni hili msikubali DRC, a long time ally of Tanzania, iingie kwenye sphere of influence ya Kenya!
You stole Uganda from us, we raided DRC
 
Aisee fanyeni mambo yenu bila kuitizama Kenya na kungoja tudhubutu ili muige. Hakuna aliyewazuia kuchangamkia hizi fursa. Kenya hatuna 'common border' na DRC. Leo hii mkiamua kuchangamkia fursa kule S.Sudan hutawasikia wakenya wakilialia.
Na hii ya kutokuwa na common border na DRC itawaumiza labda mpitie S.Sudan.

Msijifanye kuwa ninyi ndio mmewahi fursa, tulisha watangulia in some area like mineral processing. baada ya makubaliano kukamilia DRC will be using smelters and other mineral processing plants to from Tanzania to process its raw cobalt kwa ajili ya masoko ya nje. jiulize why tanzania and not Kenya utapata majibu
 
Ndio hivyo sasa, kila mtu afanye yake bila ya kulialia na kuona vivuli vikimfata. Kule DRC benki za Kenya ndio zinaongoza, kwenye insuarance, hivyo hivyo. Ngoja wafanyikazi wa umma wa DRC waje Kenya kupata mafunzo kwenye taasisi za GoK ndio tuzidi kuboresha ushirikiano wetu.
 
Nani kalia? Naona mnatafuta pa kuounguzia madeni maana China karibu atawamiliki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada alikuwa anatoa maoni sio kulia.
Tofautisha maoni na kulia

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hayo hayo, maoni ya kulialia, hadi machozi yamechanginyakana na ute na kamasi.[emoji1]
 
Umesahau mafuta..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…