Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Warning shots fired. The just elected President of DRC is a Kenyaphile. Tanzanian diplomats liangalieni hili msikubali DRC, a long time ally of Tanzania, iingie kwenye sphere of influence ya Kenya!
Naon unasoma kichwa cha habari bila kuelewa kilichomo ndaniNyie sasa hivi hata mtoto wenu Burundi amewachoka, naona hata hawamtaki Mkapa tena kuhusika kwenye mambo yao Burundi rejects Mkapa's dialogue report
Hahaha awamu ya tano ni donda kubwa sana Kwa watanzania.Kwa regime hii?
Forget that!
Hakuna maarifa hayo,watu wapo busy kupambana na Lissu!
Yaani the whole regime has gone to war with a crippled Lissu,yaani kiwete Lissu!
Can you imagine that sir?
Nyie ndio madalali wa vita na migogoro.Warning shots fired. The just elected President of DRC is a Kenyaphile. Tanzanian diplomats liangalieni hili msikubali DRC, a long time ally of Tanzania, iingie kwenye sphere of influence ya Kenya!
Si hivyo, Rais Kenyatta ndo alikua Rais pekee aliehudhuria kuapishwa kwake, kwahivyo alikua anaregesha Asante ndo maana nchi ya pili kuitembelea kama raisi ilikua ni Kenya..Warning shots fired. The just elected President of DRC is a Kenyaphile. Tanzanian diplomats liangalieni hili msikubali DRC, a long time ally of Tanzania, iingie kwenye sphere of influence ya Kenya!
Tshisekedi is in the country for talks with his host President Uhuru Kenyatta, who was the only African leader at his inauguration in Kinshasa.
Huo ni uchungu kweli.yaani hapo hamna shida kabisa ktk maswala ya biashara na siasa za kiafrica ni kawaida sana nchi moja kuopt kufanya biashara na nchi zaidi ya moja no problem at all wala wakenya hamtasikia Tz imekufa njaa sababu ya izo mambo NEVER ever
Bros.why do you entertain unhealthy discussion , Drc has many oppoturnites than you can think ,mombasa and Dar arn't enough to supply DRC.for those who have ever cross kasumbalesa border (zambia and Drc)will understand the demand of Drc.Tanzania atakuja tu msitie hofu, wote wanajua dawa yenu ni kuja kuwakuna tu na kuwaita ndugu halafu mnabweteka na kutulia. Hicho ndio kikubwa kwenu, kwamba waje tu na kuwaita ndugu basi.
Lakini sisi tupo kimaslahi zaidi maana ndio dunia ilivyo, SADC huko mlipeleka kiherehere chenu cha kumwaga damu, leo hii Afrika Kusini wakianza zile vurugu zao za kuwaua Waafrika wageni, huwa hawatambui Utanzania wala nini, juzi tulisoma taarifa za Msumbiji wanavyowatesa raia wa Tanzania na kuchana paspoti zenu na kuwanyang'anya kila kitu.
Mumezungukwa na hayo mataifa tisa, badala ya kuchangamkia fursa, mumezubaa hadi mnaachia tuwape ushindani hata kwa mataifa ambayo hatuna mpaka nao, ni aibu sana eti tunagombania na nyie soko la Rwanda, Burundi, DRC n.k.
Yaani ni kama mje mshindane na sisi kwenye soko la Sudan Kusini, yaani ikifikia hatua kama hiyo naihama hii nchi maana itakua kama tusi mbaya sana.
So this is shekedishekedi… he's so handsome!Si hivyo, Rais Kenyatta ndo alikua Rais pekee aliehudhuria kuapishwa kwake, kwahivyo alikua anaregesha Asante ndo maana nchi ya pili kuitembelea kama raisi ilikua ni Kenya..
Kati ya makubaliano ni kwamba kenya itawasaidia kufundisha wafanyikazi wa serikali (civil Servants) pale Kenya School of Government...
Pia alifanya mkutano Raila Odinga ambaye ndo AU rep for Infrastructure
Held talks with President Felix Tshisekedi of the DRC who is visiting the country focusing on areas of mutual interest and cooperation with a particular emphasis on the role of infrastructure in development on the continent.
So this is shekedishekedi… he's so handsome!
Hakai kuwa na roho mbaya kama mchoma vifaranga
Heheee I heard mchoma vifaranga is doing more than enough.Some even say anafaa kuongoza milele! This habit of idolizing leaders imepitwa na wakatiHahahahahaa
Mchoma Vifaranga yupo confused mama,tumuonee huruma tu!
Kuna siku tutapata rais mzuri tutapiga hatua tuivuke Kenya,nyie subirini tu!
Kwa probability tulionayo so far kuna siku tunaweza angukia kwa Lee Kuan Yew wa Kitanzania hapa mkashangaa!
We are so in trouble in such a way tunakaribia kutoboa!
Wait and see Jeni!
Hahaha! 😀 Eti uhandsome, sema tu ni migodi yake ya dhahabu ndio imekuzingua.So this is shekedishekedi… he's so handsome!
Hakai kuwa na roho mbaya kama mchoma vifaranga
Hahaha Melissa's uncle.wanafanana kidogoHahaha! 😀 Eti uhandsome, sema tu ni migodi yake ya dhahabu ndio imekuzingua.
siku mtayowajua vizuri wakongomani hamtaamini tabia zao.hivi mlishajiuliza kwanini hawapakii container zao kwenye treni ya tazara hali kuna connection toka kapilimposhi hadi kwao.Zambia haikubali kupakia container kwenda drc sababu hawarudishi behewa zikienda kwao mpaka mwaka.So this is shekedishekedi… he's so handsome!
Hakai kuwa na roho mbaya kama mchoma vifaranga
Heheee I heard mchoma vifaranga is doing more than enough.Some even say anafaa kuongoza milele! This habit of idolizing leaders imepitwa na wakati
hehe mchoma vifaranga!So this is shekedishekedi… he's so handsome!
Hakai kuwa na roho mbaya kama mchoma vifaranga
Dingi lawmaina itakua jobless inamchanganya,maana aeleweki anachoongeaMbona unajichanganya mzee, hapohapo unakiri watz Wako south africa na Msumbiji, hapohapo unasema wamezubaa, sasa hao watz huko wanaenda kufanyaje, Kuhubiri injili? Njaa inakuchanganya Dingi Unazeeka vibaya
Hahaha we' jamaa bana. Kwani huyu rais alikufanyia nini?Unatamani tu atoke madarakaniMchoma vifaranga huyu huyu tunaemjua?
Acha utani Jeni!
Yule jamaa ni hasara tupu!
Tunataka amalize 2020 yake arudi kupumzika..Akikomaa sana 2025 ndio mwisho lazima akapumzike kwa lazima!
Yule bwana hafai hata kwa bure!
Hahaha we' jamaa bana. Kwani huyu rais alikufanyia nini?Unatamani tu atoke madarakani
Si umesikia wale ambao wamemtukana wamo hatarini? Usiseme neno baya kumhusu watakwandama.Woiiiiii
Atoke watu tumue aisee!
Tuwe na uhuru hata wa kuongea!