Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Kweli kabisa yaani akina Lerant Lusajo ndio under 23?Vijeba FC wamechukua ubingwa 😆
Kulikua na nafasi mbili za above 23 na yeye akiwa ni mmoja wapo ..Kweli kabisa yaani akina Lerant Lusajo ndio under 23?
Okay, nashukuru kwa ufafanuzi Mkuu.Kulikua na nafasi mbili za above 23 na yeye akiwa ni mmoja wapo ..
Team zote za under 23 huruhusiwa kuongeza wachezaji 3 waliozidi umri kwa ajili ya kuongeza hamasa na uzoefu kwa wachezaji vijana kwenye mashindano.Kweli kabisa yaani akina Lerant Lusajo ndio under 23?
Zilkuwa nafasi 3 sio mbili,sospeter,muhilu na lusajoOkay, nashukuru kwa ufafanuzi Mkuu.
Mwingine ni Metacha.Kulikua na nafasi mbili za above 23 na yeye akiwa ni mmoja wapo ..
Metacha ni under 23 ..Mwingine ni Metacha.
OKMetacha ni under 23 ..