Tanzania - Mapendekezo ya mpango wa maendeleo wa taifa wa mwaka 2018/19

Tanzania - Mapendekezo ya mpango wa maendeleo wa taifa wa mwaka 2018/19

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,887
Lengo la huu uzi ni kuupitia mpango wa maendeleo wa Tanzania kisha kuanza kuangalia ulinganifu wa mpango wa maendeleo wa ndugu zetu wakenya.

Ushindani lazima uwepo na tuweze kuona ni nani wenye vision pana kati ya Tanzania na Kenya. Lengo kuu likiwa ni kuonesha ushindani uliopo kati yetu wenye lengo kuu la kuwaletea maendeleo raia wetu.
Msingi wa thread hii upo katika mapendekezo na mpango wa maendeleo wa tanzania. Ingefaa zaidi ndugu zetu toka Kenya wakaweka na wao ili tuweze kulinganiasha.
Katika uzi huu nitauvunjavunja mpango wetu wa maendeleo na kuruhusu tuweze kujadili kipengere kwa kipengere.

Sitapenda kuwepo na mihemko isiyokuwa na tija. Ningependa tujadili kwa kina ili mwisho wa siku tuonekane ni watu wenye akili timamu na tuwenze kuenzi mtandao huu unaoelezea kuwa sisi humu ndani ni GT.

Ninaambatanisha PDF file lilo na mapendekezo ya mpango wa maendeleo wa Tanzania.
Hata hivyo unaweza ukatembelea tovuti ya mipango hapa: http://www.mipango.go.tz/
Utajipatia maelezo mengi na kupata taarifa nyingi za kupakua.
 

Attachments

Kwanza kabisa katika mpango huu wa maendeleo ni mwendelezo wa mpango wa maendeleo wa miaka mitano.
Ambao msingi wake ni kujenga uchumi wa viwanda nchini ukijikita katika maeneo manne:
  1. Viwanda vya kukuza uchumi na ujenzi wa msingi wa uchumi wa viwanda
  2. Kufungamanisha ukuaji wa uchumi na maendeleo ya watu
  3. Ukuzaji wa mazingira wezeshi kwa uendeshaji biashara na uwekezaji
  4. Kuimarisha usimamizi wa utekelezaji wa mpango
 
Kwa vile Mpango wa Maendeleo wa Mwaka 2018/19 ni mwendelezo wa utekelezaji wa Mpango wa Pili wa Maendeleo wa Miaka Mitano, Mapendekezo haya ya Mpango yamezingatia: Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025; Mpango wa Pili wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano (2016/17 - 2020/21); Sera na Mikakati mbalimbali ya kisekta, Kikanda (EAC na SADC) na Umoja wa Afrika; Agenda 2030 ya Malengo ya Maendeleo Endelevu; Agenda 2063 ya Maendeleo ya Afrika; na Ilani ya CCM ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015. Vile vile, umezingatia mapitio ya mwenendo wa uchumi kitaifa, kikanda na kidunia kwa mwaka 2016 na maoteo kwa mwaka 2017. Umezingatia pia hali halisi ya utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo kwa Mwaka 2016/17 na kwa robo ya kwanza ya mwaka 2017/18 na hivyo kujielekeza katika kupatia majibu changamoto za utekelezaji zilizojitokeza.
 
upload_2018-4-10_13-9-45.png
 
Kenya Vision 2030 is the ultimate reference for this kind of thread! That's how focused Kenya is instead of peace-meal annually cobbled up mipangos!

Ask for the link!
 
upload_2018-4-10_13-30-34.png


4.5.1 Ujenzi wa mtambo wa kuzalisha umeme wa Stiegler’s Gorge

4.5.2 Kuendeleza ujenzi wa Reli ya Kati

4.5.3 Kuboresha Shirika la Ndege Tanzania

4.5.4 Mradi wa Umeme wa Makaa ya Mawe Mchuchuma

4.5.5 Kiwanda cha Kufua Chuma cha Liganga

4.5.6 Shamba la Miwa na Kiwanda cha Sukari Mkulazi

4.5.7 Ujenzi wa Kiwanda cha Kusindika Gesi Kimiminika, Lindi

4.5.8 Uanzishwaji wa Kanda Maalum za Kiuchumi

  • Eneo Maalum la Uwekezaji la Bagamoyo
  • Kituo cha Viwanda cha Kurasini (Industrial Park)
  • Maeneo Maalum ya Uwekezaji ya Kigoma
  • Eneo Maalum la Uwekezaji la Mtwara
  • Eneo maalum la Uwekezaji Ruvuma
4.5.9 Kusomesha kwa wingi wataalam kwenye fani na ujuzi adimu

4.5.10 Bomba la mafuta Hoima (Uganda) – Chongolieni -Tanga (Tanzania)
 
Hizi mipango zimezidi, we want action.

Lol..too many mipangos. Can't they have a long term sustainable roadmap? At this rate,the left hand is bound to not knowing what the right hand is up to.
Me thinks it's a bait for another protracted Nbo vs Dar merry go round!

Told them,Ref; Kenya Vision2030!
 
Lol..too many mipangos. Can't they have a long term sustainable roadmap? At this rate,the left hand is bound to not knowing what the right hand is up to.
Me thinks it's a bait for another protracted Nbo vs Dar merry go round!

Told them,Ref; Kenya Vision2030!
“Give me six hours to chop down a tree and I will spend the first four sharpening the axe.”
Ndivyo Tanzania tunafanya. Tunatumia akili nyingi kuliko makelele kama yenyu.
 
Hizi mipango zimezidi, we want action.
Action kama BRT only, or kuishinda Tz kwenye bomba la mafuta kutoka Ug au Stone age trains moving at a snail speed au kukopa ili kulipa loan intrest na serikali kuwa broke au kurudia chaguzi au kumtimua Miguna, au kufanikisha CoW, au .....e.t.c [emoji28]
 
Lol..too many mipangos. Can't they have a long term sustainable roadmap? At this rate,the left hand is bound to not knowing what the right hand is up to.
Me thinks it's a bait for another protracted Nbo vs Dar merry go round!

Told them,Ref; Kenya Vision2030!
Long term plans are taboo there.
 
Back
Top Bottom