super nova
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 1,479
- 1,097
Habari wadau wa vyombo vya Habari na wana taaluma ya Habari,
Uzi huu ni muhimu kwa wadau wa vyombo vya habari wenye ufahamu wa historia ya vyombo vya habari kuanzia wakati wa ukoloni, baada ya kupata uhuru, wakati wa utawala wa Mwalimu Nyerere na hadi hivi sasa.
lengo ni kufanya uzi huu kama sehemu muhimu ya maktaba ya mtandao ili kuweza kukuza uwezo wa kujifunza masuala yanayohusu taaluma ya uandishi wa Habari. vilevile utasaidia kukuza ufahamu kwa wanafunzi na watafiti wa masuala ya habari.
kwa ushauri tuma e.mail
utafitiwamedia@gmail.com
Mdau wa Utafiti.