Tanzania meter gage trains are better than Kenya SGR trains.

Hivi vile vichwa vya treni vilivyotelekezwa Bongo vimepata wamiliki, hiyo stori iliishia wapi, yaani Tanzania huongoza dunia kwa vituko. Hehehehe eti vichwa vya treni havina mmiliki...
Mlevi wakikenya haupo mbali...
 
Kabisa yaani umewapa live
 
Brother the issues of firr and e/sirr are so petty to me, but yet can not surpass the foreclosure issue of the facility by Chinese.
 
Tafadhalini sana bado hoja ya mtoa mada haijajibiwa, kuna watu wengi tu hatukubaliani na aliyosema mtoa mada, kwamba train zilizonunuliwa miaka miwili iliyopita kuzidiwa na zile za miaka zaidi ya ishirini, kwahiyo tunaomba mwenye kuwa na taarifa za kina azilete ili huyu mtoa mada azibwe mdomo, vinginevyo huu uzushi wa mtoa mada utakubalika kwamba ni ukweli, tafadhalini hasa wakenya, tuleteeni picha za mabehewa ya SGR ili tulinganishe tumalize ubishi.
 
Brother the issues of firr and e/sirr are so petty to me, but yet can not surpass the foreclosure issue of the facility by Chinese.

Kama kweli una uwezo wa kudadavua indicators kama FIRR/EIRR na sphere yote ya SCBA usingekua unabwatuka unavyofanya humu.
Njoo Quora ambapo watu hutumia akili kujadili sio huku udenda unawatoka ovyo kwa kila hoja.
 
Ngumu kumeza. Hata huku kwetu hii haraka haraka inaweza ikaleta usaha.
 
Kama kweli una uwezo wa kudadavua indicators kama FIRR/EIRR na sphere yote ya SCBA usingekua unabwatuka unavyofanya humu.
Njoo Quora ambapo watu hutumia akili kujadili sio huku udenda unawatoka ovyo kwa kila hoja.

Ahaaa haaa haaa
Povu la nini kaka?
Twende hoja kwa hoja. Opex haizidi Opre, and is there any hope to break even in near future? I know the numbers do not add up, so the GoK has to put a hand in her pocket to top up for unfulfilled amount of freights and passengers. Also there is no hope to narrow the gap between projected and realised CARGO and passengers.

Huko quora natoa masomo mara kadhaa. NA nakutana na transaction advisers wenzangu kibao huko.
 
An infrastructure project to break even? Why? The benefits should be enough. If it can contribute to 1% of GDP, then it is a good thing. Am sure in 2118 the SGR will still be there unless a new disruption happens in the transport sector. When the Europeans built the meter gauge our grand fathers were headers dressed in skin.
 
It depends,
If it's going to be operated under availability payment or user fees. But WHAT I understand is the facility (SGR) is paying back the invested capital through the freight and passengers who are going to use the facility. So the BEP parameter is of utmost important. Remember any project which has FIRR, the BRO is inevitable. Labda kama ni mradi wa ujenzi wa madarasa.

Changamoto nyingine hii mode ni project finance ambayo project yenyewe ndiyo security for loan. Lkn wachina walivyo wajanja wame ring fence revenue toka bandari ya Mombasa kama live cash flow to reduce the project risk.
 
Uwanja na magoli ni yale yale sijahamisha chochote, nyie mumejawa vituko mara vichwa vya treni vimeibuka bila ya kuwa na mmiliki, mumevikimbia nyote, mara kontena zinapatikana bila mmiliki, mara ndege limeshikiliwa kisa deni...nyie bana.
Hayo yote yana maelezo yake na wewe una yajua sema unajitoa ufahamu. Sasa Kuna nchii ina vituko kuliko Kenya duniani [emoji1] [emoji1]! Kuanzia watu mpaka serikali yenu ni full comedy.. Mnani bamba sana nyinyi watu. Hiyo ni talanta mmepewa
 
Kama kweli una uwezo wa kudadavua indicators kama FIRR/EIRR na sphere yote ya SCBA usingekua unabwatuka unavyofanya humu.
Njoo Quora ambapo watu hutumia akili kujadili sio huku udenda unawatoka ovyo kwa kila hoja.
Hehheeeehhee! Mk254 hebu nieleze quora ni nini mi mgeni hapo!
 
Hehheeeehhee! Mk254 hebu nieleze quora ni nini mi mgeni hapo!

Kaipigie Google search, unajua hairuhusiwi kufanya promo ya mitandao ingine humu, ila ni sehemu wadau na wataalam wa nyanja zote hukusanyika, nipo kule siku zote.
 
Kaipigie Google search, unajua hairuhusiwi kufanya promo ya mitandao ingine humu, ila ni sehemu wadau na wataalam wa nyanja zote hukusanyika, nipo kule siku zote.
Sawa
 
Hayo yote yana maelezo yake na wewe una yajua sema unajitoa ufahamu. Sasa Kuna nchii ina vituko kuliko Kenya duniani [emoji1] [emoji1]! Kuanzia watu mpaka serikali yenu ni full comedy.. Mnani bamba sana nyinyi watu. Hiyo ni talanta mmepewa

Hivi unamfahamu Dr. Shika wa 'mia tisa itapendeza', kwenye sakata la nyumba za Lugumi
 
Hivi unamfahamu Dr. Shika wa 'mia tisa itapendeza', kwenye sakata la nyumba za Lugumi
Wewe unamjua msee wa Githeri achilia mbali 007 wa Bungoma [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…