jaman jaman!uhamiaji na polisi sio kitu kimoja japokuwa wote wana enforce law,na polisi wanaweza fanya kazi za uhamiaji lkn uhamiaji hawawezi fanya kazi za Polisi!kikubwa kabla haujaandika thread ujue haswa unachotaka kukifanya au ukishindwa kuwa na source nzur kwa hilo unalolitaka basi sisi wana JF tupo kwa ajili ya nnyie ambao uelewa ni mdogo.....
Uhamiaji wana maadili yao ya kazi tofauti na Jeshi la Polisi na wala uhamiaji sio Jeshi!uhamiaji ni watu ambao intake zao za depo zinategemea na mwaka husika wa mafunzo yao na uhamuzi wa mipango ya wizara ya mambo ya ndani,inategemea,kuna wakati wanafanyia mafunzo yao Kiwira-Mbeya,kuna wakati wanafanyia mafuzo yao pamoja na jeshi la Polisi ktk vyuo vya Polisi,kule Kiwira ni chuo kinachojitegemea cha Jeshi la Magereza!
nadahani ndugu yangu utakuwa unajua mambo haya japo kidogo.......