Tanzania Military Intelligence vs TISS

Tanzania Military Intelligence vs TISS

Status
Not open for further replies.

Costa concodia

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2014
Posts
209
Reaction score
48
Habari zenu wanajukwaa, naomba tujadili kuhusu vyombo hivi viwili vya usalama.

Katika kujadili vyombo hivi ningependa wanaovifahamu kwa undani waeleze hasa ufanisi wa chombo kimoja dhidi ya kingine, je kati ya vyombo hivyo ya TMI & TISS ni chombo gani chenye uwezo wa kufanya kazi kwa weredi wa juu zaidi?
 
natamani sana wale manguli wa mambo ya ujasusi na usalama waje hapa.general Moshe Dayan ni mda mrefu sana upo kimya mkuu.uwanja wako huu.
CC de'levis RUCCI
 
Last edited by a moderator:
TMI wapo juu....
Ngoja nikale magimbi na kisamvu nitarudi
 
Hakuna TMI bali CMI ....... fungua huu uzi kila kitu kimeelezwa na wadau Tunahitaji mfumo mpya wa kijasusi?

Inaitwa MI.... Hicho ulichotaja ni cheo ...CMI - chief of millitary intelligence .....Msaidizi wake anaitwa DMI - director of Millitary Intelligence.
kazi ngumu Sana Hiyo ..hawa Ndio hufanya infiltration kwenye Nchi yeyote yenye mwelekeo wa kuwa Adui ...ukisikia watu wanatangaza vita ujuwe hawa miaka hadi mitatu kabla walishaingia kwa Adui .. ( kujipenyeza)
 
Baada ya mashambulizi ya Sept 11 kule marekani kuliundwa tume huru kuchunguza kasoro za kiusalama na ni nani hakuwajibika ipasavyo. Kati ya watu waliohojiwa ni pamoja na George Tennet aliyekuwa mkuu wa CIA na Generals wa Jeshi la Marekani ikiwa ni Pamoja na Mkuu wa Military Intelligence. Director wa CIA aliulizwa ni namna gani CIA inafanya kazi na MI!? Alijibu kwa ufupi sana '' IT IS CLASSFIED''.
Sasa ni vema ikajulikana kuwa mtoa mada hii inawezekana hajui namna intelligence inavyofanya kazi. kuna kitu kinaitwa intelligence community ambapo kila chombo kinafanya tathimini yake nakushauri wakuu wao ila mwisho kabisa mtu wa mwisho kumshauri Rais mambo ya intelligence ni mkuu wa TISS/ Pricipal Adviser to the President on all matters of intelligence.

Kwahiyo mimi nadhani ukizungumzia utendaji na mafanikio ya TMI basi umeigusa pia TISS bila wewe kujua and vice versa.

Ukiona nchi yoyote imetulia, na ukiona nchi yoyote ina Jeshi imara na lenye nidhamu sana basi ujue kuwa intelligence inafanya kazi
 
Hivi ni vyombo vinavyofanya kazi sawa (Usalama wa Taifa) lakini vinatofautiana in terms of scope (coverage).

Scope/coverage ya TISS ni ndani ya nchi na coverage ya MI ni nje ya nchi (Eg. Tuna uadui na Rwanda...je Kenya na Uganda wanachezea team ipi? Kuna msaada wowote wa kijeshi unaotoka Kenya kwenda Rwanda ? Adui zetu ni nani na wamejipanga vipi?

Pia military intelligence wanakuwa na full contigency plan ya vita na nchi zote zinazotuzunguka- Inaitwa Commander's Estimates.

Kwa mfano...Ikitokea Kenya wamepata rais kichaa kesho akaamka na kuanza kuishambulia TZ, tayari sisi tuna mchoro mzima wa vita (huo mchoro ndo huitwa Commader's estimate- tutahitaji jeshi kubwa kiasigani, vifaru vingapi, mafuta kiasigani yatatumika kuweka kwenye magari, vifaru, ndege na itatuchukua mudagani kuwamudu )...hii ni topic ndefu sana..unaweza kuijadili siku nzima..
 
Mkuu knowledge is power!!!!....watu tunataka kufaham.....umeongea vema kama unaweza kuendelea itakuwa jambo jema zaid!!!.nadhan mtoa mada hajataka kujua siraha za jeshi japo zinafahamika pia!!!...mtoa mada anaomba kufaham nan anafanya kwa weredi,nan kuna bureaucracy.....
Tiririka mkuu OVER!!!!!!!!
 
Mkuu..kwa uelewa wangu ni kwamba vyombo vyote vina uwezo mkubwa sana wa kutekeleza majukumu yake..
Ila nachoweza kuongelea kwa mtazamowangu ni kwamba for obvious reasons (TISS wako exposed sana political inteference, unlike MI) -Natumaini utanielewa. Pia kuna mtoamada mmoja hapo ameelezea...utulivu tulionao ni moja ya matokea ya kazi nzuri inayofanywa na Idara ya Usalama wa Taifa. Otherwise hii nchi ingekuwa imeshalipuka zamani sana!- Sorry nimetoka nje ya mada kidogo...
 
TMI ndo wako juu zaidi hawa ndo wanapiga doria usiku na mchana na kukamata mamluki wanaongia kupitia mipakani kimyakimya! hawa ndo wanafanya kazi sana kulinda nchi na mambo yao huwa hayatangazwi sijui wanaokamatwaga huwa wanawapeleka wapi,kama sio hawa nchi ingekuwa pabaya.
 
mkuu hao mamluki wanaokamtwa huko mipakani,ni kama hawa wasomali wakimbizi wanaokutwa wamejificha kwenye malori wanapo ingia tz kutafuta hifadhi?.au sijakuelewa mkuu,mana kama ni hao basi TMI itakuwa inaingilia kazi ya askari wa uhamihaji.
 
Hivi ni vyombo vinavyofanya kazi sawa (Usalama wa Taifa) lakini vinatofautiana in terms of scope (coverage).

Scope/coverage ya TISS ni ndani ya nchi na coverage ya MI ni nje ya nchi (Eg. Tuna uadui na Rwanda...je Kenya na Uganda wanachezea team ipi? Kuna msaada wowote wa kijeshi unaotoka Kenya kwenda Rwanda ? Adui zetu ni nani na wamejipanga vipi?

Pia military intelligence wanakuwa na full contigency plan ya vita na nchi zote zinazotuzunguka- Inaitwa Commander's Estimates.

Kwa mfano...Ikitokea Kenya wamepata rais kichaa kesho akaamka na kuanza kuishambulia TZ, tayari sisi tuna mchoro mzima wa vita (huo mchoro ndo huitwa Commader's estimate- tutahitaji jeshi kubwa kiasigani, vifaru vingapi, mafuta kiasigani yatatumika kuweka kwenye magari, vifaru, ndege na itatuchukua mudagani kuwamudu )...hii ni topic ndefu sana..unaweza kuijadili siku nzima..

mkuu ahsante kwa maelezo mazuri..ila hawa jamaa ambao huwa wapo kwenye baroz nchi tofauti tofauti ndo inaaminika wapo TISS...ila kwenye maelezo yako inaoneka MI ndo huwa wanafanya kazi ya udukuzi njee ya mipaka...hapo imekaa kaa vp??.

ahsante.
 
Lieutenant General(rtd) Shimbo na General Mwamunyange washawahi kuiendesha MI kwa vipindi tofauti. Kuna askari vichwa sana kwenye hiyo taasisi. Wanawake ni almost non-existant ndani hiyo taasisi
Mmmmh! !!! Nashukuru kulijua hili. Jinsi ulivyoandika tu unaonekana ni mdau wa hiyo ofisi, hizo ni habari za ndani sana kwa mtu baki kujua kama hao waheshimiwa walishaongoza hizo idara.
 
Habari tamu sana hii tunaomba wataalam watujuze zaidi

Cc: RUCCI
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom