Costa concodia
JF-Expert Member
- Jun 12, 2014
- 209
- 48
Hakuna TMI bali CMI ....... fungua huu uzi kila kitu kimeelezwa na wadau Tunahitaji mfumo mpya wa kijasusi?
Hivi ni vyombo vinavyofanya kazi sawa (Usalama wa Taifa) lakini vinatofautiana in terms of scope (coverage).
Scope/coverage ya TISS ni ndani ya nchi na coverage ya MI ni nje ya nchi (Eg. Tuna uadui na Rwanda...je Kenya na Uganda wanachezea team ipi? Kuna msaada wowote wa kijeshi unaotoka Kenya kwenda Rwanda ? Adui zetu ni nani na wamejipanga vipi?
Pia military intelligence wanakuwa na full contigency plan ya vita na nchi zote zinazotuzunguka- Inaitwa Commander's Estimates.
Kwa mfano...Ikitokea Kenya wamepata rais kichaa kesho akaamka na kuanza kuishambulia TZ, tayari sisi tuna mchoro mzima wa vita (huo mchoro ndo huitwa Commader's estimate- tutahitaji jeshi kubwa kiasigani, vifaru vingapi, mafuta kiasigani yatatumika kuweka kwenye magari, vifaru, ndege na itatuchukua mudagani kuwamudu )...hii ni topic ndefu sana..unaweza kuijadili siku nzima..
Mkuu knowledge is power!!!!....watu tunataka kufaham.....umeongea vema kama unaweza kuendelea itakuwa jambo jema zaid!!!.nadhan mtoa mada hajataka kujua siraha za jeshi japo zinafahamika pia!!!...mtoa mada anaomba kufaham nan anafanya kwa weredi,nan kuna bureaucracy.....
Tiririka mkuu OVER!!!!!!!!
TMI ndo wako juu zaidi hawa ndo wanapiga doria usiku na mchana na kukamata mamluki wanaongia kupitia mipakani kimyakimya! hawa ndo wanafanya kazi sana kulinda nchi na mambo yao huwa hayatangazwi sijui wanaokamatwaga huwa wanawapeleka wapi,kama sio hawa nchi ingekuwa pabaya.
Hivi ni vyombo vinavyofanya kazi sawa (Usalama wa Taifa) lakini vinatofautiana in terms of scope (coverage).
Scope/coverage ya TISS ni ndani ya nchi na coverage ya MI ni nje ya nchi (Eg. Tuna uadui na Rwanda...je Kenya na Uganda wanachezea team ipi? Kuna msaada wowote wa kijeshi unaotoka Kenya kwenda Rwanda ? Adui zetu ni nani na wamejipanga vipi?
Pia military intelligence wanakuwa na full contigency plan ya vita na nchi zote zinazotuzunguka- Inaitwa Commander's Estimates.
Kwa mfano...Ikitokea Kenya wamepata rais kichaa kesho akaamka na kuanza kuishambulia TZ, tayari sisi tuna mchoro mzima wa vita (huo mchoro ndo huitwa Commader's estimate- tutahitaji jeshi kubwa kiasigani, vifaru vingapi, mafuta kiasigani yatatumika kuweka kwenye magari, vifaru, ndege na itatuchukua mudagani kuwamudu )...hii ni topic ndefu sana..unaweza kuijadili siku nzima..
Mmmmh! !!! Nashukuru kulijua hili. Jinsi ulivyoandika tu unaonekana ni mdau wa hiyo ofisi, hizo ni habari za ndani sana kwa mtu baki kujua kama hao waheshimiwa walishaongoza hizo idara.Lieutenant General(rtd) Shimbo na General Mwamunyange washawahi kuiendesha MI kwa vipindi tofauti. Kuna askari vichwa sana kwenye hiyo taasisi. Wanawake ni almost non-existant ndani hiyo taasisi