Hii abari sina uhakika nayo na sijui kama imeshatua hapa JF maana toka kanzi kapigwe fagio akuna tena ot newzer
,ila hii ni Tz ni habari motomoto kama haijafika hapa nimerushiwa
Re transmitted as received.
Man's inhumanity to man. A bus was ambushed by armed robbers. The passengers were robbed and
raped. Those that had nothing to give were asked to lie down on the road face down and the driver, at gun
point, was commanded by the robbers to drive the bus over them!!!!
Kama hii habari ni kweli basi tumeshavuka threshold line
tumeshindwa tu kuwatafsiria wananchi kwamba mambo haya hadi watu kukosa utu moyoni yana uhusiano wa moja kwa moja na ilani mbovu,ahadi hewa ya maisha bora kwa kila mtanzania.
My God,we are done!
Hii habari nimekutana nayo kwenye mtandao ila sina uhakika kama ni Tanzania. Nafikiri ni kwingineko duniani.
Hii ilitokea Nigeria, siyo TZ!
Best haya mambo yanatokea kweli, mwaka jana nilikuwa home Biharamulo kuna jamaa katika pori la kuelekea Kigoma kupitia nyakanazi, jamaa waliteka gari (hiace) ilokuwa imebeba maharusi na baada ya kuona hakuna kitu kwa mkono walimbaka bibi harusi hadharani na kisha wakatimka, badae usalama JWTZ walivamia pori na kuwafyeka majambazi kama njugu. Hili la majambazi nililishuhudia mwenywe pale hospitali teule ya wilaya ya Biharamulo walikuwa wamechakazwa risasi dunia nzima. But guess what, sikusikia tangazo redioni wala nini, yule jamaa wa RFA alilipoti mambo mengine ya maarbino. So these things are there and have been there only that most of them are not being reported!Habari kama inaukweli wowote ilipaswa kuwa habari kubwa lakini kwa jinsi ilivyo ni udaku type. Napendekeza Mods aipeleke kwenye jokes.