Elections 2015 Tanzania mpya, Tanzania ya Rais Edward Lowasa Mtendaji asiye shindwa Inakuja tar 25 Octbr

Ngonidema

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
2,720
Reaction score
2,688
Hakuna Mjadala tena Maccm yamepoteana kabsa hawaelewi pakuingilia wala pakutokea kwasasa kwan maccm yamekataliwa kila mahali c vijjn wala town, walichobakiwa nacho ni ile asili yao ya kukataa ukweli coz wameamishwa ivyo bila kusahau uwongo uwongo na umbeya mwingii+mipasho isiyo na tija kwa Taifa letu, bye bye ccm, Karibu Ukawa via Chadema, karbu Rais Mtarajiwa anaye subr kuapishwa Mh E. Lowasa
 
Mtendaji yupi hata kusema hotuba take ys pg moja kichwani hawezi,wakakupime akili
 
Kwani Lowasa aliwahi kufanikiwa katika lipi? Maana kila niliangalia naona ni mtu wa kufeli tu. ndo maana kakatwa na CCM
 
Yap, ukombozi wa pili wa mtanzania
Ukombozi upi wakati akili yake ni mdogo kuriko hata mtoto wa chekechea,sijui mikataba ya kitaifa na kimataifa kwake itakuwaje japo najua ikishindikana sana serikali ya mseto ili kulisaidia taifa
 
Wenzako tulienda shule amekuwa akifanya maigizo ya kuongea dakika 5 adi 10,akidai muda sasa tunamsubili kwenye midahalo,ili tumpime uwezo wake vizuri,
 
Hakuna Mjadala tena Maccm yamepoteana kabsa hawaelewi pakuingilia wala pakutokea kwasasa kwan maccm yamekataliwa kila mahali c vijjn wala town, walichobakiwa nacho ni ile asili yao ya kukataa ukweli coz wameamishwa ivyo bila kusahau uwongo uwongo na umbeya mwingii+mipasho isiyo na tija kwa Taifa letu, bye bye ccm, Karibu Ukawa via Chadema, karbu Rais Mtarajiwa anaye subr kuapishwa Mh E. Lowasa

Ukawa imesha gawanyika tangu lowasa aingie na sasa NCCR. Ukawa rudieni ukweli acheni tamaa.
 
VIVA LOWASSA VIVA.

Tanzania mpya, matokeo kwa vitendo kwanza, maneno baadae!
 
Tunahitaj rais asiyetegemea mawazo ya kikwete tena....kufanya hivyo ni kuliangamiza taifa....yule jamaa wa ccm ni tegemez wa hana maamuz ya kwake yenye tija

na mtu huyo ni lowasa pekee
 
Kwenye mdahalo anachomoka na takwimu dunuani kote mgombea anayefanya vizuri kwenye midahalo ndo uwa anashinda,

Kaka Endelea Kukaa Na Takwimu Zako....... Huyo Magufuli Anayeongea Sana Anongea Kipi Cha Maana!?
Au Unadhani Kutumia Muda Mwingi Ndio Tija?
 
Ukawa imesha gawanyika tangu lowasa aingie na sasa NCCR. Ukawa rudieni ukweli acheni tamaa.

Mkuu achana nao kiboko yake hiyo ni mdahalo tu wale manyumbu watamkimbia na wasipomkimbia kila mbinu itatumika kuhakikisha urais anausikia maana wajinga hawawezi kutuletea rais bogasi
 
Kaka Endelea Kukaa Na Takwimu Zako....... Huyo Magufuli Anayeongea Sana Anongea Kipi Cha Maana!?
Au Unadhani Kutumia Muda Mwingi Ndio Tija?

Bro umeenda shule kweli,nijibu mwalimu anapotunga mtihani si anasema na muda?pia kama wewe unajua siasa midahalo yote, MF wa Obama,camerooni,au Uhuru Kenya,ukiona na ulichukua dakika ngapi,
 
Amezunguka karibia nchi mzima na usanii wake wa dakika 5 au 10
Sasa tunamsubili kwenye midahalo,
 
Mwisho wa usanii wake ni midahalo,na takwimu zinaonyesha nchi nzima anayefanya vizuri kwenye midahalo ndo anashinda urais
 
Back
Top Bottom