SoC04 Tanzania Mpya tuitakayo ya mageuzi ya muda mrefu

Tanzania Tuitakayo competition threads
Joined
Oct 30, 2018
Posts
35
Reaction score
62
Tanzania kama nchi huru na inayoendelea ina Mambo mengi ya kuzingatia ili tufike mbali na tuwe na taifa bora , na nitaangazia katika nyanja kuu muhimu ili kama taifa tufanye mabadiliko.

1. KATIBA MPYA YA WANANCHI
Katiba ndo dira na ramani katika nchi yoyote duniani ambayo kila mtu anafata katiba hiyo Kwa maslahi ya taifa lake na Maendeleo ya watu na nchi. Natamani taifa letu litupe katiba mpya ambayo itakuwa chini ya wanachi na isimamiwe na wabunge watakao chaguliwa na wananchi ili kusimamia katiba na sheria zake na kuhakikisha zinatekelezwa ipasavyo .
(a) : Rais na serikali yake wasimamie na kutekeleza wajibu wa katiba na sheria zilizowekwa na wananchi.
(b): Serikali iundwe na vyama vyote ambavyo wagombea wake watakuwa wameshinda kwa 40% katika uchaguzi mkuu Ili kuongeza ufanisi katika utendaji .
(c): Viongozi wachaguliwe kwa ujuzi na taaluma zao na sio ushawishi wao katika jamii ili tupate Viongozi bora na wenye sifa .
(d): Kamati ya uchaguzi hisichaguliwe na raisi wala wapambe wake bali kuwepo na wataalamu maalumu na watu waombe na wachaguliwe kupitia mfumo maalumu ili kuwepo na uchaguzi wa haki , na hiyo Kamati wajumbe wake wawekewe kiapo kikali na ikitokea kukawa na dosari wawajibishwe kulingana na katiba na uchaguzi urudiwe.
(e) : Nchi iweke miradi (mipango )ya mda mrefu ya kuanzia miaka 20+ ambayo kila raisi atakae kuja madarakani ataitekeleza kwa uadilifu na sio kila raisi kuja na mipango yake ambayo inaweza ishia njiani baada ya mda wake na kupoteza kodi za raia.

2: UBORESHAJI WA ELIMU KWA VITENDO
Katika ukuaji wa nchi yoyote elimu ni msingi wa kila kitu na mabadiliko yote katika nchi na dunia ni mabadiliko katika nyanja ya elimu,
Ili kupiga hatua nchi yetu inabidi tubadilishe elimu yetu tuache nadharia na iwe elimu ya vitendo sambamba na hilo kutokana na ulimwengu kubadilika Serikali inabidi iwekeze sana katika nyanja ya kilimo, tehama na afya ili vijana waweze kuendana na kasi ya dunia na kufungua fursa nyingi.
Lakini pia Serikali ifungue shule za ufundi stadi na vyuo vingi vya ufundi ili wasomi wengi wapate ujuzi ili watoe ule utegemezi wa kuajiriwa , hiyo itasaidia kupunguza utegemezi wa kuajiriwa na kupata wajuzi wengi na kukuza uchumi wetu kama nchi.

3: MAGEUZI KATIKA AFYA
Ili taifa liweze kukua na kuwa na uchumi ni lazima lizingitie afya ya watu wake kwa ajili ya uzalishaji , hivo basi kama Serikali ili kuwa na watu wenye afya njema inabidi
(a)Serikali iweke tozo ya 3% kwa kila bidhaa ambayo pesa hiyo itaelekezwa kwenye mifuko ya afya Tanzania nzima na watu watapata matibabu bure , hii itapunguza mzigo kwa watu na itakuwa rahisi kila mtu kupata matibabu na kuimarisha afya za watu. Watu wengi wanakuwa na afya dhoofu kutokana na kukosa gharama za matibabu na wengne kufa .
(b) Serikali ijenge walau vyuo vitatu (3 ) Kwa ajili ya kufanya tafiti za mimea ya dawa na washirikishwe waganga wa jadi ili kupata baadhi ya dawa hapa nchini na kwa gharama nafuu .
Hiyo itasaidia kuongeza ufanisi katika sekta ya afya na kufanya mageuzi makubwa katika sekta hii , inabidi tujivunie uoto wetu lakini pia rasilimali zetu .

4: MIUNDO MBINU IBORESHWE NA KUONGEZWA
Serikali imewekeza miundo mbinu mizuri mjini , lakini tukumbuke sehemu kubwa ya uzalishaji ipo vijijini hasa kilimo, hivo basi Serikali inabidi ijenge miundo mbinu mizuri vijijini hasa barabara na majengo( maghara) ili kuongeza uzalishaji .
Barabara zote ambazo ni njia za kwenda sehemu za uzalishaji zijengwe kwa kiwango cha rami ili kuongeza ufanisi katika uzalishaji.
Majengo ambayo Serikali imeyatelekeza zipewe taasisi ili wafanyie shughuli zao , au wapewe watu wenye mahitaji maalumu .

5: MAGEUZI KATIKA SEKTA YA KILIMO
Kilimo ni msingi wa taifa letu na sekta hii ni muhimu sana , nchi yetu imejaliwa ardhi yenye rutuba hivo basi Serikali yetu inabidi kuwekeza sana na kufanya mageuzi katika sekta hii Kwa
(a) Kufanya tafiti katika mazao ya biashara
(b) Kutumia wataalamu kutoka vyuo vyetu vya kilimo ili kuongeza ufanisi
(c) Kujenga maghara kila mkoa ya kutunza mazao ambayo yanazalishwa katika mkoa husika.
(d) Kuwezesha wataalamu wanaotengeneza viuatilifu ili kupunguza gharama za mbolea zinazotoka nje ili kutumia mimea yetu kupata mbolea ambayo haina kemikali .
(e) Kuongeza viwanda vya mazao na wataalamu wa kuchakata mazao hayo inapobidi ili kutunza ubora wa zao husika .
(f) Kuajiri watafiti wa masoko ili bidhaa zinazo zalishwa na wananchi zinapata soko na zinauzwa Kwa bei ya faida , hii itasaidia wakulima na watakuwa na soko la uhakika .

(6): NJIA KUU ZA UCHUMI ZIBORESHWE
Ili nchi ipige hatuna ni lazima uchumi wake uwe afadhali kiwango cha kati , ili inchi yetu ipige hatua inabidi itumie 60,% ya Pato
 
Upvote 2

Ili nchi ipige hatuna ni lazima uchumi wake uwe afadhali kiwango cha kati , ili inchi yetu ipige hatua inabidi itumie 60,% ya Pato la ndani
Hongera sana kaka umeua katika nyanja zote the best story so far 👏👏
 
Katiba ndo dira na ramani katika nchi yoyote duniani ambayo kila mtu anafata katiba hiyo Kwa maslahi ya taifa lake na Maendeleo ya watu na nchi. Natamani taifa letu litupe katiba mpya ambayo itakuwa chini ya wanachi na isimamiwe na wabunge watakao chaguliwa na wananchi ili kusimamia katiba na sheria zake na kuhakikisha zinatekelezwa ipasavyo .
(a) : Rais na serikali yake wasimamie na kutekeleza wajibu wa katiba na sheria zilizowekwa na wananchi.
(b): Serikali iundwe na vyama vyote ambavyo wagombea wake watakuwa wameshinda kwa 40% katika uchaguzi mkuu Ili kuongeza ufanisi katika utendaji .
(c): Viongozi wachaguliwe kwa ujuzi na taaluma zao na sio ushawishi wao katika jamii ili tupate Viongozi bora na wenye sifa .
(d): Kamati ya uchaguzi hisichaguliwe na raisi wala wapambe wake bali kuwepo na wataalamu maalumu na watu waombe na wachaguliwe kupitia mfumo maalumu ili kuwepo na uchaguzi wa haki , na hiyo Kamati wajumbe wake wawekewe kiapo kikali na ikitokea kukawa na dosari wawajibishwe kulingana na katiba na uchaguzi urudiwe.
(e) : Nchi iweke miradi (mipango )ya mda mrefu ya kuanzia miaka 20+ ambayo kila raisi atakae kuja madarakani ataitekeleza kwa uadilifu na sio kila raisi kuja na mipango yake ambayo inaweza ishia njiani baada ya mda wake na kupoteza kodi za raia.
Ninakuunga mkono haya uliyoyasema ndiyo tuyatakayo.

Ni lazima kila mwanchi awajibike kwa katiba, iishe kabisa hali ya kuonekana kama vile nchi ina wenyewe na sio nchi ni ya kila mwananchi kupitia katiba.

Inanikumbusha misemo ya jeshini, kila kiongozi anasemaga 'hizi ni kazi za watu' hadi mkuu wa kambi naye anasema ni kazi za watu heeeeeh! 😅😅

Hapana, nchi yetu sote.
(a)Serikali iweke tozo ya 3% kwa kila bidhaa ambayo pesa hiyo itaelekezwa kwenye mifuko ya afya Tanzania nzima na watu watapata matibabu bure , hii itapunguza mzigo kwa watu na itakuwa rahisi kila mtu kupata matibabu na kuimarisha afya za watu. Watu wengi wanakuwa na afya dhoofu kutokana na kukosa gharama za matibabu na wengne kufa .
Hili wazo la bima sijalipenda. Inapaswa kuendelee kuwepo kwa uchangiaji gharama (cost sharing) ili kuongeza uwajibikaji kiafya kwa watanzania. Bima itaondoa motisha ya gharama za matibabu.

Na tunafahamu kuwa watanzania, kama walivyo watu wote wanahitaji sana kujibiwa swali la 'inanihusu nini mimi' what is it in for me. Mfano bodaboda anayehitajika kuvaa buti na helment, hatumuombei apate ajali. Lakini kama rafiki/ndugu na jamaa wakimuona wanaweza kumusihi azingatie usalama maana wanafahamu akipata ajali mzigo utawaangukia. Mchuma janga hula na wa kwao. Kwa kweli 'cost sharing' ikiondoka aseee sijui tu🤔.

b) Serikali ijenge walau vyuo vitatu (3 ) Kwa ajili ya kufanya tafiti za mimea ya dawa na washirikishwe waganga wa jadi ili kupata baadhi ya dawa hapa nchini na kwa gharama nafuu .
Hiyo itasaidia kuongeza ufanisi katika sekta ya afya na kufanya mageuzi makubwa katika sekta hii , inabidi tujivunie uoto wetu lakini pia rasilimali zetu .
Kwenye suala la tafiti za ki-tiba asee tumechelewa sana tu. Wahindi wana Ayuverda. Wachina wana TibaAsili za Kichina sijui sisi tunasubiri nini.

Tumeona enzi za NIMRICAF, sasa tunaomba sawa zaidi. Wafamasia, wanasayansi, na ma molecular biologist waajiriwe na watumike jamani.

Waajiriwa wote wa NIMR tunaweza kuwapa mtindo wa quota kwamba ndani ya miaka mitatu awe ameshiriki tafiti mbili na amechapisha utafiti mmoja. Eaasy. Sio mtu anakuwa ameshaajiriwa taasisi ya utafiti lakini bado hafanyi tafiti na ukimuuliza anajibu hajapatiwa 'fungu' kwa ajili ya tafiti🤒. What the fly!!
 
Ninakuunga mkono haya uliyoyasema ndiyo tuyatakayo.

Ni lazima kila mwanchi awajibike kwa katiba, iishe kabisa hali ya kuonekana kama vile nchi ina wenyewe na sio nchi ni ya kila mwananchi kupitia katiba.

Inanikumbusha misemo ya jeshini, kila kiongozi anasemaga 'hizi ni kazi za watu' hadi mkuu wa kambi naye anasema ni kazi za watu heeeeeh! 😅😅

Hapana, nchi yetu sote.

Hili wazo la bima sijalipenda. Inapaswa kuendelee kuwepo kwa uchangiaji gharama (cost sharing) ili kuongeza uwajibikaji kiafya kwa watanzania. Bima itaondoa motisha ya gharama za matibabu.

Na tunafahamu kuwa watanzania, kama walivyo watu wote wanahitaji sana kujibiwa swali la 'inanihusu nini mimi' what is it in for me. Mfano bodaboda anayehitajika kuvaa buti na helment, hatumuombei apate ajali. Lakini kama rafiki/ndugu na jamaa wakimuona wanaweza kumusihi azingatie usalama maana wanafahamu akipata ajali mzigo utawaangukia. Mchuma janga hula na wa kwao. Kwa kweli 'cost sharing' ikiondoka aseee sijui tu🤔.

Kwenye suala la tafiti za ki-tiba asee tumechelewa sana tu. Wahindi wana Ayuverda. Wachina wana TibaAsili za Kichina sijui sisi tunasubiri nini.

Tumeona enzi za NIMRICAF, sasa tunaomba sawa zaidi. Wafamasia, wanasayansi, na ma molecular biologist waajiriwe na watumike jamani.

Waajiriwa wote wa NIMR tunaweza kuwapa mtindo wa quota kwamba ndani ya miaka mitatu awe ameshiriki tafiti mbili na amechapisha utafiti mmoja. Eaasy. Sio mtu anakuwa ameshaajiriwa taasisi ya utafiti lakini bado hafanyi tafiti na ukimuuliza anajibu hajapatiwa 'fungu' kwa ajili ya tafiti🤒. What the f
Tumechelewa sana ndo mda wa kupata katiba mpya aisee
 
Ninakuunga mkono haya uliyoyasema ndiyo tuyatakayo.

Ni lazima kila mwanchi awajibike kwa katiba, iishe kabisa hali ya kuonekana kama vile nchi ina wenyewe na sio nchi ni ya kila mwananchi kupitia katiba.

Inanikumbusha misemo ya jeshini, kila kiongozi anasemaga 'hizi ni kazi za watu' hadi mkuu wa kambi naye anasema ni kazi za watu heeeeeh! 😅😅

Hapana, nchi yetu sote.

Hili wazo la bima sijalipenda. Inapaswa kuendelee kuwepo kwa uchangiaji gharama (cost sharing) ili kuongeza uwajibikaji kiafya kwa watanzania. Bima itaondoa motisha ya gharama za matibabu.

Na tunafahamu kuwa watanzania, kama walivyo watu wote wanahitaji sana kujibiwa swali la 'inanihusu nini mimi' what is it in for me. Mfano bodaboda anayehitajika kuvaa buti na helment, hatumuombei apate ajali. Lakini kama rafiki/ndugu na jamaa wakimuona wanaweza kumusihi azingatie usalama maana wanafahamu akipata ajali mzigo utawaangukia. Mchuma janga hula na wa kwao. Kwa kweli 'cost sharing' ikiondoka aseee sijui tu🤔.

Kwenye suala la tafiti za ki-tiba asee tumechelewa sana tu. Wahindi wana Ayuverda. Wachina wana TibaAsili za Kichina sijui sisi tunasubiri nini.

Tumeona enzi za NIMRICAF, sasa tunaomba sawa zaidi. Wafamasia, wanasayansi, na ma molecular biologist waajiriwe na watumike jamani.

Waajiriwa wote wa NIMR tunaweza kuwapa mtindo wa quota kwamba ndani ya miaka mitatu awe ameshiriki tafiti mbili na amechapisha utafiti mmoja. Eaasy. Sio mtu anakuwa ameshaajiriwa taasisi ya utafiti lakini bado hafanyi tafiti na ukimuuliza anajibu hajapatiwa 'fungu' kwa ajili ya tafiti🤒. What the fly!!
Kweli inabidi tafiti zifanywe miti yetu ifanye kazi
 
Back
Top Bottom