Ukiwa medium bussinesa man au small scale bussiness man ukishindwa kufanikisha ujasiliamali wako DRC au Tanzania usipoteze mda kuenda Kenya S.Sudan, Rwanda au Uganda. Kwa uzoefu wangu ni mezuru nchi zote za kanda hi ya Africa mashariki na kati kwenye nyanja ya biashara ila naona bado Tz na DRC kuna fursa nyingi kuliko nchi zingine.
Comparative advantage ni nyingi kwa kila sector siwezi kuzimaliza zote ebu nitaje zile General. Mtanuwia radhi maneno mengine yatakua kwa kiingereza kwasbb sampling report ilifanywa kwa lugha ya kiingereza. Tutafafanua kwenye comments zenu.
1. Soko kubwa 65m ppn.
2.ushindani ni mdogo. No cut throat competition.
3. High rate of Consumer ignorance
4. Absence of dominant monopolies and cartels
5. Wingi wa mali ghafi (high presence of various raw materials)
6. Lessez fair policy of the government. Nk.