Elections 2010 Tanzania na i love the way you lie c.c.m

Elections 2010 Tanzania na i love the way you lie c.c.m

hashycool

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2010
Posts
6,555
Reaction score
2,837
Kuendelea kuikumbatia ccm kulikooneshwa na watanzania licha ya ulaghai wa miaka nenda rudi nimekufananisha na maudhui ya wimbo wa mwanamuziki machachari wa kimarekani eminem unaosema i love the way you lie...

Kuendelea kumchagua mtu kama lowasa....licha ya kuthibishwa kwake kuwa ni mwizi ni jambo ambalo limeishangaza sana...licha ya kuto hata fikia robo ya maisha bora waliyo haidiwa lakini bado wananchi wanaendelea kuipa ccm shavu!!!

Kweli watanzania loves the way ccm lies to them
 
Back
Top Bottom