johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kama akili iliochoka inawaza kwa ufanisi hivyo nafikiri hio akili inatufaa zaidi kuliko akili ambayo inawaza kutoa billion 1OO kama suluhu ya kupanda kwa bei ya wese.Yule Mzee Akili yake imechoka tayari
hebu rudia kwa sautiHivi Uganda si wanachimba mafuta?
Hadi wanajenga bomba kuuza nje mafuta kupitia Tanga,
Imekuwaje tena? Afrika tuna safari ndefu sana, tukifika tumechoka sana,
Huyu mzee ana mambo ya hovyo sana....suala la magari ya umeme sio leo..Wakati Tanzania tunapata unafuu wa Bei za mafuta kupitia ruzuku lakini Rais Museveni wa Uganda amesema ruzuku haisaidii lolote
Uganda wameanza Mfumo wa kuyabadili magari yaanze kutumia Umeme
Rais Museveni alikuwa akichangia nada kwenye kikao cha wakuu wa nchi za EA
Chanzo: ITV habari
Wala hiyo safari unayosema haipo ni upumbavu mtupu....Hivi Uganda si wanachimba mafuta?
Hadi wanajenga bomba kuuza nje mafuta kupitia Tanga,
Imekuwaje tena? Afrika tuna safari ndefu sana, tukifika tumechoka sana,
Hawajaanza kuchimba ndiyo maana bomba la mafuta halijalazwa kwenye eneo la TanzaniaHivi Uganda si wanachimba mafuta?
Hadi wanajenga bomba kuuza nje mafuta kupitia Tanga,
Imekuwaje tena? Afrika tuna safari ndefu sana, tukifika tumechoka sana,
Uwezo WA kuagiza magari ya umeme si mchezo bei yake hata hivyo vituo vya kuchaji magari sidhani kama Huko Uganda vinazidi 5.Kama akili iliochoka inawaza kwa ufanisi hivyo nafikiri hio akili inatufaa zaidi kuliko akili ambayo inawaza kutoa billion 1OO kama suluhu ya kupanda kwa bei ya wese.
Mbona 7 7 magari ya Umeme yameuzwa kwa fujo!Uwezo WA kuagiza magari ya umeme si mchezo bei yake hata hivyo vituo vya kuchaji magari sidhani kama Huko Uganda vinazidi 5.
Ongezeko la bei ya mafuta ni changamoto inayohitaji utatuzi wa haraka tofauti na kusubiri magari ya umeme ambayo Kwa huku Africa tutachukua miaka 10 mbele
Nilishawaambia watu tangu kitambo sana kuwa mradi wa bomba la mafuta hautafanyika kamwe kutokana na sababu nyingi. Sasa naona hata Museveni mwenyewe ameshaona hilo.Wakati Tanzania tunapata unafuu wa Bei za mafuta kupitia ruzuku lakini Rais Museveni wa Uganda amesema ruzuku haisaidii lolote.
Uganda wameanza Mfumo wa kuyabadili magari yaanze kutumia Umeme.
Rais Museveni alikuwa akichangia nada kwenye kikao cha wakuu wa nchi za EA.
Chanzo: ITV Habari
Ziko gari za nusu umeme nusu mafuta ama Hybrids. Nadhani ndio zinaweza kuwa mkombozi kwa kipindi hiki kigumu. Mfano mzuri ni Toyota Prius. Hio gari haina bei ya kutisha kiasi hicho.Uwezo WA kuagiza magari ya umeme si mchezo bei yake hata hivyo vituo vya kuchaji magari sidhani kama Huko Uganda vinazidi 5.
Ongezeko la bei ya mafuta ni changamoto inayohitaji utatuzi wa haraka tofauti na kusubiri magari ya umeme ambayo Kwa huku Africa tutachukua miaka 10 mbele
Hawa Uganda,si wameanza kuvhimba mafuta?Ambayo yatasafirishwa lwa bomba la mafuta hadi bandari ya Tanga au Ugsnda wamesahauKama akili iliochoka inawaza kwa ufanisi hivyo nafikiri hio akili inatufaa zaidi kuliko akili ambayo inawaza kutoa billion 1OO kama suluhu ya kupanda kwa bei ya wese.
Uganda si wameanza kuchimba mafuta?Na kusafirisha hadi bandari ya Tanga?Au wamesahau?Wakati Tanzania tunapata unafuu wa Bei za mafuta kupitia ruzuku lakini Rais Museveni wa Uganda amesema ruzuku haisaidii lolote.
Uganda wameanza Mfumo wa kuyabadili magari yaanze kutumia Umeme.
Rais Museveni alikuwa akichangia nada kwenye kikao cha wakuu wa nchi za EA.
Chanzo: ITV Habari
Hawa Uganda kweli akili imechoka,wao si wameanza kuchimba mafuta,na kusafirisha nje,kupitia bandari ya Tanga,iweje watafute gari za umeme,wakati mafuta wanachimba wenyewe.Kama akili iliochoka inawaza kwa ufanisi hivyo nafikiri hio akili inatufaa zaidi kuliko akili ambayo inawaza kutoa billion 1OO kama suluhu ya kupanda kwa bei ya wese.
Hapo sasaHivi Uganda si wanachimba mafuta?
Hadi wanajenga bomba kuuza nje mafuta kupitia Tanga,
Imekuwaje tena? Afrika tuna safari ndefu sana, tukifika tumechoka sana,
Uganda hawajasahau ila mzee Museveni kasahau.Umri umeendaHawa Uganda,si wameanza kuvhimba mafuta?Ambayo yatasafirishwa lwa bomba la mafuta hadi bandari ya Tanga au Uganda wamesahau
Toyota Prius ya aina hiyo bei yake ni shilingi milioni sitini hiyo sio bei ya kutisha?Ziko gari za nusu umeme nusu mafuta ama Hybrids. Nadhani ndio zinaweza kuwa mkombozi kwa kipindi hiki kigumu. Mfano mzuri ni Toyota Prius. Hio gari haina bei ya kutisha kiasi hicho.
Kama kweli kuna walionunua imekula kwaoMbona 7 7 magari ya Umeme yameuzwa kwa fujo!