Tanzania na kutolipa deni ni kama chanda na pete

Teargass

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2018
Posts
20,648
Reaction score
17,772
Tanzania is known all over the world for not paying its debts, that's why most organization don't give them loans. What they can afford to get is just grants and donations because wakipewa loan hawatalipa.

It was just month that their plane was impounded juu ya kutolippa deni. World bank and other organizations forgave their loan arrears after realising that kulipa deni kwao ni shida, korosho walichukua za wakulima but hao wakulimla hawajalipwa upto date, Canada also impounded their plane some years back just because of debts.

Sasa the recent case is their coach who took them to AFCON. They terminated his contract lakini without compensating him, now Amunike has gone to court.

 
joto la jiwe ulisema mlimlipa huu kocha hela yake yote[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Shirika la East African Airways(EAA) liliporomoka kwasababu ya deni ambalo Tz ilikataa kulipa Kenya. Hela ambazo Kenya ilikuwa inalipa kwa niaba ya Tz na Uganda kwa ajili ya shughuli za kuendesha shirika la East African Airways. Kenya ilipochoka na ukajanja wao ndio walizitambua vizuri rangi zote za nyang'au.
 
Wapigwe suspension na FIFA ili iwe funzo kwa LDC zingine ambazo hazilipi makocha wao.
 
Na bado kuna civil servants wanadai malimbikizo ya mishahara baada ya kupandishwa madaraja
 
Wameshindwa hata kuwalipa wakulima wao

 
Hahahaha, taarifa ya uongo, sisi sio kama ninyi, hatudaiwi kitu
 
Mkenya anamsema mtamzania na madeni wakati wakenya wanadaiwa mpaka kwenye unyayo

Madeni ya Kenya East Africa nzima wakiungana bado ni cha mtoto
 
Lipeni deni, hata kama ni shilingi moja ndio imebaki Lipeni tu[emoji23][emoji23].
Vipi deni la mchina, mtaanza lini kulipa, au mumeamua kuwarithisha wajukuu zenu?, kwasababu hamuwezi kulipa ndani ya miaka 50 ijayo, ni pesa mingi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…