TANZANIA NA MAAJABU YAKE: Lijue Ziwa linalojigeuza kuwa mawe

Umetia chumbi..huwezi katika ukinywa mkuu..sema hayafai kunywa kutokana na chumvi iliyopo
 
kuna maajabu mengi sana huko natron na zipo njia nyingi za kulifika ziwa hilo ikiwemo barabara ya olduvai gorge au ile ya kupitia goli la serengeti...joto la pale hatari sana hadi wakati mwingine pumzi unahisi zinakata...
pia kuna mganga amesaidia vijana wengi kule na wakafanikiwa kumiliki wadada wa kizungu kwa masharti ya kulawitiwa na mbuzi..hili nalo ni la ajabu kabisa
 
Inawezekana kulihamishia Burigi Chato?
Cc Elitwege
 
Na vijana wanakubali mkuu?
 
Inasemekana hapo zamani wamasai walikuwa wananyongewa sana hapo.

Ndio maana linageuka dam(rangi nyekundu) ni mizim ya yero hio
 
Tanzania ni nchi tajiri,tumechoka kuchezewa, mtanikumbuka kwa mazuri-mwendazake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…