GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Mwenye taarifa sahihi anijuze!
Wakati wa utawala wa Dr. Kikwete, tulikuwa na KILIMO KWANZA na BIG RESULTS NOW!
Alipoingia hayati Dr. Magufuli, kukazaliwa TANZANIA YA VIWANDA!
Kabla ya KILIMO KWANZA, BIG RESULTS NOW na TANZANIA YA VIWANDA, kulikuwepo na MKUKUTA, MKUTABITA, SIASA NI KILIMO n.k.
Hiyo MIPANGO ilishahitumu au ilizaliwa kwa KUKURUPUKA na ikafa bila taarifa?
Tunatembea na mpango upi kwa sasa? Imedhamiriwa kusimamiwa hadi ifanikiwe au imeanzishwa kwa KUKURUPUKA na hivyo kuwa hatarini kufa kifo cha KUKURUPUKA?