Tanzania na mwendo wa kinyonga kwenye miradi

Tanzania na mwendo wa kinyonga kwenye miradi

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827
Kwa kusema ule ukweli Tanzania ina mipango mibovu na inakwenda kama mwendo Wa kinyonga

Tulizoea kuona kila wiki kupata taarifa za bwawa la umeme Rufiji lakini Siku hizi hatupati. Wanatusaulisha kusudi ili baadae walitelekeze.

Kuna kodi za mtanzania zimeteketea pale cha ajabu majitu yapo yamekodoa macho wanajifanya hawajui makosa hayo.

Soma pia: Mtambo wa pili bwawa la Nyerere kuwashwa, kumaliza kabisa mgao wa umeme nchini
 
Yaani kuna nchi kilio kimekua ni mamlaka ya maji safi kila kona wananchi wanateseka tu.
 
DMDP ndiyo mwarobaini wa skwata kwa tanzania ,hii project nimeielewa sana ,ukipita kijichi

Ukipita tandale papo fresh sana lami hadi mlangoni na mataa barabarani kama yote.

Wafanye hizo project TZ nzima maana ni unyama sana.
 
Back
Top Bottom