MakinikiA JF-Expert Member Joined Jun 7, 2017 Posts 5,104 Reaction score 6,827 Nov 4, 2024 #1 Kwa kusema ule ukweli Tanzania ina mipango mibovu na inakwenda kama mwendo Wa kinyonga Tulizoea kuona kila wiki kupata taarifa za bwawa la umeme Rufiji lakini Siku hizi hatupati. Wanatusaulisha kusudi ili baadae walitelekeze. Kuna kodi za mtanzania zimeteketea pale cha ajabu majitu yapo yamekodoa macho wanajifanya hawajui makosa hayo. Soma pia: Mtambo wa pili bwawa la Nyerere kuwashwa, kumaliza kabisa mgao wa umeme nchini
Kwa kusema ule ukweli Tanzania ina mipango mibovu na inakwenda kama mwendo Wa kinyonga Tulizoea kuona kila wiki kupata taarifa za bwawa la umeme Rufiji lakini Siku hizi hatupati. Wanatusaulisha kusudi ili baadae walitelekeze. Kuna kodi za mtanzania zimeteketea pale cha ajabu majitu yapo yamekodoa macho wanajifanya hawajui makosa hayo. Soma pia: Mtambo wa pili bwawa la Nyerere kuwashwa, kumaliza kabisa mgao wa umeme nchini
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 38,283 Reaction score 97,793 Nov 4, 2024 #2 Tanroads
M mwanamabadiliko JF-Expert Member Joined Oct 30, 2010 Posts 938 Reaction score 1,540 Nov 4, 2024 #3 Hazina Haina pesa, wakandarasi Kila sehemu wanadai, wao wapo busy na 2025
Ushimen JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 40,828 Reaction score 99,523 Nov 4, 2024 #4 Yaani kuna nchi kilio kimekua ni mamlaka ya maji safi kila kona wananchi wanateseka tu.
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 Nov 4, 2024 #5 DMDP ndiyo mwarobaini wa skwata kwa tanzania ,hii project nimeielewa sana ,ukipita kijichi Ukipita tandale papo fresh sana lami hadi mlangoni na mataa barabarani kama yote. Wafanye hizo project TZ nzima maana ni unyama sana.
DMDP ndiyo mwarobaini wa skwata kwa tanzania ,hii project nimeielewa sana ,ukipita kijichi Ukipita tandale papo fresh sana lami hadi mlangoni na mataa barabarani kama yote. Wafanye hizo project TZ nzima maana ni unyama sana.