Tanzania na Olimpiki tufanye hivi

Tanzania na Olimpiki tufanye hivi

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,106
Reaction score
12,916
Tanzania Mungu katupa kila kitu.

1. Kwa upande wa riadha tunajua kabisa wakimbiaji wanatoka upande gani wa nchi hii.

2.Tuwafuate huko walipo hasa vijana na watoto tuwekeze nguvu na mafunzo.

3.Tuwawezeshe kwa kila namna kazi yao iwe ni kukimbia tu.

Nakadhalika na kadhalika.

Hata ki biashara yafanyike mashindano mara kwa mara.

NB: Tusisubirie serikali.
 
Hatuwezi. Hii nchi kila mahali ni upigaji tu. Kamati ya Olympic ipo ina ipo kimchongo tu. Hakuna maandalizi ni lipua lipua tu za geresha dakika za mwisho.

Hii nchi tulishashindwa kila kitu.

Hebu jiulize ile team yetu ya watoto wa mitaani iliyoshinda CopaCocacola kule Brazil wale vijana walipewa zawadi gani na waliendelezwa vipi na leo wako wapi?
 
Ila CCM mnapotupelekaa HAKI mnafanya watu wachekee c kuhuzunika tenaa..ndugu soma hapo😂😂
IMG-20240813-WA0007.jpg
 
Back
Top Bottom