Tanzania Mungu katupa kila kitu.
1. Kwa upande wa riadha tunajua kabisa wakimbiaji wanatoka upande gani wa nchi hii.
2.Tuwafuate huko walipo hasa vijana na watoto tuwekeze nguvu na mafunzo.
3.Tuwawezeshe kwa kila namna kazi yao iwe ni kukimbia tu.
Nakadhalika na kadhalika.
Hata ki biashara yafanyike mashindano mara kwa mara.
NB: Tusisubirie serikali.