Tanzania na sheria dhidi ya kukatiza vibaya barabarani Jaywalking

Tanzania na sheria dhidi ya kukatiza vibaya barabarani Jaywalking

Mlenge

R I P
Joined
Oct 31, 2006
Posts
2,125
Reaction score
2,306
Habari.

Hivi Tanzania ina sheria dhidi ya kukatiza holela barabara (Jaywalking)?

Usalama barabarani ni pamoja na udhibiti wa matumizi yasiyo ya vyombo vya moto.

Lini mara ya mwisho aendaye kwa miguu (pedestrian) alipewa notifikesheni ya faini?
 
Back
Top Bottom