Mlenge R I P Joined Oct 31, 2006 Posts 2,125 Reaction score 2,306 Jul 28, 2018 #1 Habari. Hivi Tanzania ina sheria dhidi ya kukatiza holela barabara (Jaywalking)? Usalama barabarani ni pamoja na udhibiti wa matumizi yasiyo ya vyombo vya moto. Lini mara ya mwisho aendaye kwa miguu (pedestrian) alipewa notifikesheni ya faini?
Habari. Hivi Tanzania ina sheria dhidi ya kukatiza holela barabara (Jaywalking)? Usalama barabarani ni pamoja na udhibiti wa matumizi yasiyo ya vyombo vya moto. Lini mara ya mwisho aendaye kwa miguu (pedestrian) alipewa notifikesheni ya faini?
Tape measure JF-Expert Member Joined Nov 26, 2015 Posts 1,981 Reaction score 3,604 Mar 6, 2019 #2 Hii ni Tanzania tamaduni zetu haziruhisu kumpa hat mlevi notification kisa kalala barabarani Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni Tanzania tamaduni zetu haziruhisu kumpa hat mlevi notification kisa kalala barabarani Sent using Jamii Forums mobile app