Tanzania na teknolojia

Tanzania na teknolojia

mr.chengachenga

Senior Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
155
Reaction score
104
Habari wana JF.

Napenda kufahamu kutoka kwa wanaofahamu kuhusu teknolojia katika nchi yetu.

Je, kuna chombo chochote kinachosimamia au kuendeleza teknolojia ya watanzania wanazozigundua au kuziiba(kucopy)kutoka mataifa mengine ili na sisi sikumoja tuweze kuzalisha kama mataifa mengine au hata kutengeneza silaha zetu za kijesh wenyewe? nakumbuka kunasiku nilikua naangalia kipindi cha EATV kiitwacho USWAZI nikaona jamaa anatengeneza helcopta na alikua yuko katika hatua za mwishoni kabisa lakini sijui aliishiaga wapi.

Na je, yale magari ambayo JWTZ walisema wanayatengeneza wenyewe(kwenye ckuku ya muungano), wanayatengeneza kla k2 mf injini, bodi, nk.au baadhi ya v2 wanaviagiza nje na kufanya kuviundia 2 hapanyumban.

Nakaribisha maoni yenu naushauri kama kuna maali nlikosea kwenye hii thread.

Asanteni.
 
Mkuu nijuavyo mimi !
Chombo chakusimamia wagunduzi hapa Tanzania hakuna kabisa !

Na kama kipo basi hao wasimamizi watakuwa Hawana akili vizuri kama sio vichaa/matahira

na ukigundua kitu mfano Bomu ! Basi utatekwa na kukamatwa !

Nchi hii kuna vyombo vyakusimamia katiba tu na siasa kiujumla !
 
KAma ndo hivi tunahaki ya kutoa migodi kwa makontena ya neti na condom
 
Mkuu nijuavyo mimi !
Chombo chakusimamia wagunduzi hapa Tanzania hakuna kabisa !

Na kama kipo basi hao wasimamizi watakuwa Hawana akili vizuri kama sio vichaa/matahira

na ukigundua kitu mfano Bomu ! Basi utatekwa na kukamatwa !

Nchi hii kuna vyombo vyakusimamia katiba tu na siasa kiujumla !

Serikali ya nchii hii haitaki hayo mambo. We mtu waliyempa hiyo wizara hana passion nayo kabisa, kwanza hata kutia window kwenye laptop yake hajui.
 
Haha hah haha... Anaonaga tu Logo ya Windows® XP Proffessional inavyowaka.
 
Mkuu nijuavyo mimi !
Chombo chakusimamia wagunduzi hapa Tanzania hakuna kabisa !

Na kama kipo basi hao wasimamizi watakuwa Hawana akili vizuri kama sio vichaa/matahira

na ukigundua kitu mfano Bomu ! Basi utatekwa na kukamatwa !

Nchi hii kuna vyombo vyakusimamia katiba tu na siasa kiujumla !

wamelala hao ngoja tz cku moja site zote ziwe defaced ndo wajue umuhim wa kuwa serious na hivi vitu tunavyodharau
 
yani kwa jinsi nchi yetu inavyoendeshwa hata kama tukianzisha hiki chombo bado tu viongozi wetu wataruhusu watu weupe kuingia kwa kisingizio cha ufadhili na kusababisha teknolojia zitakazo kua mpya kuibiwa na hata baadhi ya wataalamu wetu kuchukuliwa.maana wenzetu wako makini sana kwenye hii mambo,yan tunatakiwa kuamua kweli na kua siri ya taifa kama lilivyo jeshi.kwa sasa hk chombo siwez hamin kama kipo kwa 7bu sinaona matokeo yoyote ya maendeleo katika sekta yoyote.WATANZANIA TUAMKE SASA TUSIJIZARAU
 
Mkuu nijuavyo mimi !
Chombo chakusimamia wagunduzi hapa Tanzania hakuna kabisa !

Na kama kipo basi hao wasimamizi watakuwa Hawana akili vizuri kama sio vichaa/matahira

na ukigundua kitu mfano Bomu ! Basi utatekwa na kukamatwa !

Nchi hii kuna vyombo vyakusimamia katiba tu na siasa kiujumla !

Chombo kipo i think hyo ni responsbility ya Tanzania commision of science and technology(Costech)
 
Back
Top Bottom