Mimi ni mTanzania naipenda Tanzania Ila umefika mahali sina furaha Kwa haya yanayo endelea kiukweli fuwatilieni Uzi nilisema kama Sera ya awamu ya tano haitobadilika term hii hali itakuwa mbaya zaidi.Kuna email inasambaa mtandaoni ya kuogopesha. Tunavuliwa nguo uchi.
Hebu soma huu waraka. Wawekezaji wanavyotuchukulia. Kwa mtindo huu, Tanzania inazama
Ni rafiki wa raslimali zetuNilifikiri Wachina ni ndugu zetu wa damu.
View attachment 1641910
Kwa uongozi usiofuata taratibu ulizojiwekea wenyewe. Tanzania ni chafu kuliko hata uchafu wenyewe.Hamna kitu hapo hizo ni fake emails za kuichafua Tanzania yetu.We need to be tough in collecting revenues.Otherwise we won't make it.
Hapo kama nakuona huli mpaka utoe shikamoo kwa sauti ya juu.Acha kupaniki..kwahiyo unataka ufanye biashara bila kukaguliwa..? We kua mpole serikali ifanye kazi yake.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Wale jamaa wamezoea chin Chuu hing Jang unKingereza cha kichina
Si huwa mnasema wazungu Ni mabeberu so mnapendelea wa Asia meaning wachina, wajapan, wakorea, nk.. Kumbe wachina nao wakisema kweli wanakuwa mabeberu?!!!wapiga dili hao..chinesse are not genuine investors at all..ukiona wanalalamika ujue hakuna kupiga dili, whic is good!!
btw...nadhani this is cheap propaganda!!
Ni kweli Mamlaka zinazovizia biashara za Tanzania ni nyingi mno alafu nyingi ya hizo zimejifunza u-TRA, yaan vinatoza fines and penalties kubwa kubwa utadhani vinajua hiyo biashara itatoa hizo pesa kwenye fungu lipi!
TRA Kuweni rafiki, jifunzeni kutotisha watu
kwa fines and penalties. Kumbuka ni kila mwaka na madai yake.
1. Halmashauri- Service Levies
- Lesseni
-Mazingira wenu na fain
-Michango changia
2. TRA -Corporate Tax
- PAYE
-SDL
-VAT
-Property tax
3. Wizara ya na Kodi ya ardhi
4. WCF
5. NSSF
6.OSHA -Hawa Wana list ndefu ya vya kulipia, mafunzo, kupima afya wafanyakazi
7. NEMC, wana list pia, annual fees, na permit fees
8. FIRE Wana list pia ya vitu tofauti vya kulipia, eg, fire extinguishers, certificate, mafunzo!
9. Kama una gari, ongeza fine za barabarani, na issue zote za gari.
10. Wakala wa vipimo, mizani reg fees
and fines.
11. Visima refu, vina zake.
12.BRELA
na bado list inaendelea,
Kama lengo ni kuongeza ukubwa wa tax base, tunakosea, tujaribu kuongeza efficiency kwenye tozo chache,
Yaani kwa Hali ilivyo mamlaka ni nyingi kiasi kwamba kampuni zinalazimika kuongeza gharama za ndani kwa kuajiri mtu atakayekuwa kazi yake ni kuzungukia hizo mamlaka, maana in real business life ni shughuli kubwa hiyo.
Tatizo wakati mwingine siyo wao kama TRA ni sheria,Kanuni na mifumo isiyo rafiki inabidi ipitiwe upya kweli kweli kuondoa ukiritimba, kodi za kujirudia, faini na riba kubwa zisizozingatia faida au kulipika, kodi na tozo nyingi mno kwa kila uwekezaji na biashara kwa ujumla, mtizamo hasi ya serikali kwa wafanya biashara na vice versa. Serikali iwachukulie kama washirika wao maendeleo na ustawi wa jamii na vivyo hivyo wafanyabiashara wasiwe na mawazo hasi kwa TRA, ziwepo taratibu rahisi za kupata vibali,mafunzo kwa watumishi wa TRA na wadau/wafanya biashara ya kila mara kwa ujumla badala ya kuviziana,elimu na uhamasishaji wa kila mara na matumizi ya teknolojia katika ukusanyaji wa kodi na tozo, upanuzi wa wigo wa kodi watu wote walipe.wapunguze ukubwa wa sekta isiyo rasmi ilipe kodi badala ya kungangania makampuni na biashara rasmi kuongeza ukusanyaji wa pato. Ongeza idadi ya wafanyakazi TRA na weledi wa kazi na mifumo ya kiutawala ibadilike ikibidi kutoka mamlaka kuwa wakala/ agency. Haya yakifanyika itapunguza pia rushwa.Basing on our current regime I wont ignore the contents in that letter. TRA, Traffic and all others that is there natural habit, complaints everyday from everywhere.
Sijui ni wawekezaji gani tunaosema kila siku tunawavutia, huyo mchina anadai kapoteza more than 1 mil. US dollar; na sio kwasababu biashara yake ilikuwa ngumu, tatizo ni hao TRA na wenzao na rushwa juu kila siku wanagonga hodi mlangoni kwake.
Kodi/tozo ya vitanda malazi ya kiutalii ongeza hapo. Mwenyekiti wa Taasisi ya wafanya biashara asaidie kwa kuishauri serikali kwa maslahi ya taifa. Uchumi utaanguka.
Inaweza ikawa kweli... laki je..!!wapiga dili hao..chinesse are not genuine investors at all..ukiona wanalalamika ujue hakuna kupiga dili, whic is good!!
btw...nadhani this is cheap propaganda!!
Na walio wengi humu wamekazana kwenye FAKE EMAIL lakini hawajui na hawajawahi jaribu kufanya biashara waone kama kilichosemwa ni kweli au la..!!Hata mie naamini hiyo ni fake email lakini ndani yake kuna ujumbe wa TRA yetu na ukitaka kujua fanya kabiashara kako uone moto
VAT ungeiondoa kwenye list, kwa sababu inamuhusu mtumiaji wa mwisho. Mfanya biashara ni kama wakala tu wa kukusanya VAT. Ila hayo mengine yaani umegonga penyewe.. Msululu wa malipo hadi inakuwa ngumu sana kuanzanzisha biasharaNi kweli Mamlaka zinazovizia biashara za Tanzania ni nyingi mno alafu nyingi ya hizo zimejifunza u-TRA, yaan vinatoza fines and penalties kubwa kubwa utadhani vinajua hiyo biashara itatoa hizo pesa kwenye fungu lipi!
TRA Kuweni rafiki, jifunzeni kutotisha watu
kwa fines and penalties. Kumbuka ni kila mwaka na madai yake.
1. Halmashauri- Service Levies
- Lesseni
-Mazingira wenu na fain
-Michango changia
2. TRA -Corporate Tax
- PAYE
-SDL
-VAT
-Property tax
3. Wizara ya na Kodi ya ardhi
4. WCF
5. NSSF
6.OSHA -Hawa Wana list ndefu ya vya kulipia, mafunzo, kupima afya wafanyakazi
7. NEMC, wana list pia, annual fees, na permit fees
8. FIRE Wana list pia ya vitu tofauti vya kulipia, eg, fire extinguishers, certificate, mafunzo!
9. Kama una gari, ongeza fine za barabarani, na issue zote za gari.
10. Wakala wa vipimo, mizani reg fees
and fines.
11. Visima refu, vina zake.
12.BRELA
na bado list inaendelea,
Kama lengo ni kuongeza ukubwa wa tax base, tunakosea, tujaribu kuongeza efficiency kwenye tozo chache,
Yaani kwa Hali ilivyo mamlaka ni nyingi kiasi kwamba kampuni zinalazimika kuongeza gharama za ndani kwa kuajiri mtu atakayekuwa kazi yake ni kuzungukia hizo mamlaka, maana in real business life ni shughuli kubwa hiyo.
. HSi huwa mnasema wazungu Ni mabeberu so mnapendelea wa Asia meaning wachina, wajapan, wakorea, nk.. Kumbe wachina nao wakisema kweli wanakuwa mabeberu?!!!
Alichosema hapo ni kweli tupu, hata wazawa wengi wamefunga biashara awamu hii kwa sabb hizo