Intelligence Justice
JF-Expert Member
- Oct 23, 2020
- 3,840
- 4,414
Mkuu,Kuna email inasambaa mtandaoni ya kuogopesha. Tunavuliwa nguo uchi.
Hebu soma huu waraka. Wawekezaji wanavyotuchukulia. Kwa mtindo huu, Tanzania inazama
Wajinga wanakazania kuongeza kodi, wenye akili wanapunguza kodi na kuongeza vyanzo vya kodi.Hamna kitu hapo hizo ni fake emails za kuichafua Tanzania yetu.We need to be tough in collecting revenues.Otherwise we won't make it.
This is eye opening. KhaaTRA ni Tatizo ila Wachina sio wawekezaji ni wahuni Flani hivi
Wengi wanatumia Tin namba za wazawa 🚶🏿 Wanakwepa kodi kuliko kiumbe yeyote.
Mkuu,04 November 2020
Instabul , Turkey
5-star hotel in Tanzania turned into students’ hostel
Tourist paradise has been mired in financial doldrums triggered by coronavirus outbreak
Kizito Makoye |03.12.2020
DAR ES SALAAM, Tanzania
Tanzania’s hospitality paradise, the Ngurdoto Mountain Lodge, which used to draw many international visitors to the country’s northern tourist circuit of, Arusha, has been converted into a students’ dormitory on a lease agreement as the gloomy business climate drove the property to the brink of financial ruin.
The novel coronavirus outbreak was the final straw for the battered hotel industry, which suffered losses due to travel restrictions to curb the disease.
As the virus spread, the country’s hospitality industry suffered as corporate and business travelers, who account for the bulk of hotel revenues, cut back on travel spending.
The Ngurdoto Mountain Lodge, renowned for hosting the 2008 Leon H. Sullivan Summit, was forced to shut down due to poor business as a result of the outbreak.
Eliamani Sedoyeka, the principal of the Arusha Institute of Accountancy, confirmed that the college has leased the hotel.
According to Sedoyeka, the move to lease the hotel was prompted by a surge of new students who have been admitted this year.
“We were overwhelmed by new requests for admission. That’s why we decided to find a new accommodation,” he said.
The landmark company that manages the hotel confirmed the agreement, adding that each student would pay 400,000 Tanzanian shillings (around US$173) per year.
According to Sedoyeka, some rooms have been facelifted to include double beds.
Equipped with 300 bedrooms and seven presidential suites, the hotel, built in 2003, is reminiscent of former Democratic Republic of Congo President Mobutu Sese Seko’s Gbadolite Presidential Palace deep in the Congo jungle.
“Initially, some students were not willing to move in. But now, everyone is motivated to settle there. Some of them really like the environment. They share videos on social media,” he said.
Source : https://www.aa.com.tr/en/africa/5-star-hotel-in-tanzania-turned-into-students-hostel
Yaani hii ndio justification yako ya hoteli ya nyota tano kugeuzwa hosteli?!Mkuu,
Usidakie taarifa ukidhani unafurahisha baadhi ya watu wanaofurahia tukio kama hilo. Ukweli ni kwamba chuo husika kimeongeza baadhi ya kozi hivyo kupelekea kuwa na mahitaji ya nyongeza ya madarasa na mabweni. Mpaka sasa mabweni bado hayajakamilika ndio maana uongozi uliona ni busara kuwatafutia wanafunzi mahali pa kuishi ili wasikose masomo kwa kuahirisha muhula. When you get a story cross check it for authenticity, thus healthful consumption to readers.
Hah hah, lazima kuna sababu hoteli ya Nyota 5 kuacha kuwa hoteli moja sera mbovu za serikali ktk sekta ya utalii, mfumo wa kodi, Tanzania kushindwa kupambana na Covid n.kUsidakie taarifa ukidhani unafurahisha baadhi ya watu wanaofurahia tukio kama hilo. Ukweli ni kwamba chuo husika kimeongeza baadhi ya kozi hivyo kupelekea kuwa na mahitaji ya nyongeza ya madarasa na mabweni.
TRA huwabambikia kodi bandia wawekezaji ili kutengeneza mazingira ya Rushwa, huko TRA kunabidi kufumuliwe kusukwe upyaBasing on our current regime I wont ignore the contents in that letter. TRA, Traffic and all others that is there natural habit, complaints everyday from everywhere.
Sijui ni wawekezaji gani tunaosema kila siku tunawavutia, huyo mchina anadai kapoteza more than 1 mil. US dollar; na sio kwasababu biashara yake ilikuwa ngumu, tatizo ni hao TRA na wenzao na rushwa juu kila siku wanagonga hodi mlangoni kwake.
Wana Tabia wakiona mfanyabiashara ana pesa nyingi Bank wanaenda kufunga A/C kisha unaletewa bill kubwa ya kodi isiyo na kichwa wala miguu usipotoa Rushwa unaweza hata kubambikiwa kesi ya uhujumu uchumi, wafanyabiashara wanataabika mno hasa kipindi hiki mabeberu wamekataa kutoa pesa.Hata mie naamini hiyo ni fake email lakini ndani yake kuna ujumbe wa TRA yetu na ukitaka kujua fanya kabiashara kako uone moto
Utawala huu umejaa mapungufu mengi kwenye mfumo wa kodi na kibenk hususani BOTKwa uongozi usiofuata taratibu ulizojiwekea wenyewe. Tanzania ni chafu kuliko hata uchafu wenyewe.
Sheria inasema risiti miaka mitano nyuma lakini wao hudai risiti hata za miaka 10 nyuma ili mradi watekeleze lengo la kumkomoa mtu mwekezaji au mfanyabiashara wa kawaida, Elimu ya kodi yafaa ipitishwe kwa wananchi wazijue haki zao vizuri pasipo shaka waepuka uonevu mateso ya baadhi ya maafisa wa TRAKwa watu ambao tumewahi kufanya shughuli za uwekezaji kwenye mataifa mbalimbali, nikilinganisha baina ya mataifa ambayo nimewahi kuwepo, Tanzania ndiyo eneo la hovyo na gumu kuliko nchi zote.
Nimewahi kushughulika na uwekezaji Australia, Canada, Chile, Argentina, Ghana, South Africa, Mozambique, Mali, Burkina Faso, Liberia na Burundi.
Katika mataifa hayo yote, nikifanya ulinganifu, mahali pabaya kabisa kuwekeza ni Tanzania. Kama ni mfanyabiashara, au mwekezaji, ni aheri uende Burundi kuliko Tanzania.
Tanzania hapafai kwa uwekezaji kwa mazingira yaliyopo. Karibia kila eneo ni tatizo:
1) Kodi ni nyingi na kubwa
2) TRA ni tatizo kubwa. TRA inafanya kazi kama genge la wahuni. Wanaweza kukukadiria kodi ambayo siyo stahili, hata ukilipa hiyo isiyo halali, bado kila wakati watakuwa ofisini kwako kutaka zaidi na zaidi. Wanaweza kukudai risiti hata za miaka 15 iliyopita, kama zinechakaa au zimepotea kwa sababu uliona hazina kazi tena, ujue una shida.
3) Wakuu wa Wilaya, wakuu wa mikoa na mawaziri, wakati wowote wanaweza kuja kwenye kitega uchumi chako na kutoa tamko lolote lile, hata kufunga shughuli zako bila ya kufuata sheria wala masharti ya leseni
4) Rais naye anaweza kutoa tamko lolote kwa kutegemea siku hiyo alivyoamka. Na kwa tamko lake tu ambalo halipo hata kisheria, biashara yako inaweza kuwa imeishia hapo
5) Polisi nayo haieleweki. Matarafiki wa Tanzania ndiyo ovyo kuliko nchi zote nilizowahi kutembelea. Hata uwe mwangalifu namna gani, huwezi kufanya safari ndefu Tanzania, ukafika na kurudi bila kutengenezewa kosa la kulipa. Kuna wakati niliwahi kusafiri toka Lusaka mpaka Ndola mpaka Mbeya. Zambia sikulipishwa kwa kosa lolote. Toka Mbeya mpaka Namanga, Arusha nililipishwa mara 4. Toka Namanga mpaka Nairobi, mpaka Nakuru mpaka Sirari upande wa Kenya, sikulipishwa hata mara moja. Toka Sirari mpaka Mwanza nililipishwa mara 2. Nilienda Burundi nilikaa wiki 2 sikulipishwa kwa kosa la barabarani hata siku 1. Tanzania, ni nchi ya kuviziana, ni nchi ambayo Serikali inafanya kazi ya kuwakomoa wananchi wake, au kuwasomesha namba kwa lazima, wapende wasipende
6) Taasisi msururu ambazo zipo kwaajili ya kukwamisha badala ya kuwezesha. Mara OSHA, TFDA, TBS, WCF, NEMC, FIRE, etc, hao wote wanapokuja kwako lengo kuu ni kuchukua hela
7) TANROADS - hawa wana penalties za ajabu kabisa. Adhabu zinaanzia dola 4,000 kwenda juu. Unapima mzani wa kwanza, wa pili, wa 3, mzigo upo sawa. Mzani wa 4, unaambiwa mzigo umezidi, penalty dola 4,000. Njiani hujaongeza wala kupunguza mzigo lakini mwanzoni mzigo unaambiwa ulikiwa sawa, mwishoni unaambiwa mzigo umezidi.
Kwa ujumla, Tanzania hapafai kwa uwekezaji. Katika Africa, Ghana is the best, na ndiyo maana uchumi wake unakua kwa kasi kitakwimu na jwa macho. Siyo huu wa Tanzania unakua kwenyr makaratasi ya watawala.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uchumi wa kati kwa Tanzania ni uchumi feki kwani hata usumbufu wa BOT kwa watu wanaotumiwa pesa toka nje umeuvuruga uchumi wa kati, hii Tabia mbovu ya baadhi ya maofisa wa TRA kuwafungia Account wafanyabiashara nayo imekuwa kero kubwa na inawavunja moyo wawekezaji kwani kabla ya kuja husaka taarifa juu ya utendaji kazi wa TRA ya TanzaniaKwa watu ambao tumewahi kufanya shughuli za uwekezaji kwenye mataifa mbalimbali, nikilinganisha baina ya mataifa ambayo nimewahi kuwepo, Tanzania ndiyo eneo la hovyo na gumu kuliko nchi zote.
Nimewahi kushughulika na uwekezaji Australia, Canada, Chile, Argentina, Ghana, South Africa, Mozambique, Mali, Burkina Faso, Liberia na Burundi.
Katika mataifa hayo yote, nikifanya ulinganifu, mahali pabaya kabisa kuwekeza ni Tanzania. Kama ni mfanyabiashara, au mwekezaji, ni aheri uende Burundi kuliko Tanzania.
Tanzania hapafai kwa uwekezaji kwa mazingira yaliyopo. Karibia kila eneo ni tatizo:
1) Kodi ni nyingi na kubwa
2) TRA ni tatizo kubwa. TRA inafanya kazi kama genge la wahuni. Wanaweza kukukadiria kodi ambayo siyo stahili, hata ukilipa hiyo isiyo halali, bado kila wakati watakuwa ofisini kwako kutaka zaidi na zaidi. Wanaweza kukudai risiti hata za miaka 15 iliyopita, kama zinechakaa au zimepotea kwa sababu uliona hazina kazi tena, ujue una shida.
3) Wakuu wa Wilaya, wakuu wa mikoa na mawaziri, wakati wowote wanaweza kuja kwenye kitega uchumi chako na kutoa tamko lolote lile, hata kufunga shughuli zako bila ya kufuata sheria wala masharti ya leseni
4) Rais naye anaweza kutoa tamko lolote kwa kutegemea siku hiyo alivyoamka. Na kwa tamko lake tu ambalo halipo hata kisheria, biashara yako inaweza kuwa imeishia hapo
5) Polisi nayo haieleweki. Matarafiki wa Tanzania ndiyo ovyo kuliko nchi zote nilizowahi kutembelea. Hata uwe mwangalifu namna gani, huwezi kufanya safari ndefu Tanzania, ukafika na kurudi bila kutengenezewa kosa la kulipa. Kuna wakati niliwahi kusafiri toka Lusaka mpaka Ndola mpaka Mbeya. Zambia sikulipishwa kwa kosa lolote. Toka Mbeya mpaka Namanga, Arusha nililipishwa mara 4. Toka Namanga mpaka Nairobi, mpaka Nakuru mpaka Sirari upande wa Kenya, sikulipishwa hata mara moja. Toka Sirari mpaka Mwanza nililipishwa mara 2. Nilienda Burundi nilikaa wiki 2 sikulipishwa kwa kosa la barabarani hata siku 1. Tanzania, ni nchi ya kuviziana, ni nchi ambayo Serikali inafanya kazi ya kuwakomoa wananchi wake, au kuwasomesha namba kwa lazima, wapende wasipende
6) Taasisi msururu ambazo zipo kwaajili ya kukwamisha badala ya kuwezesha. Mara OSHA, TFDA, TBS, WCF, NEMC, FIRE, etc, hao wote wanapokuja kwako lengo kuu ni kuchukua hela
7) TANROADS - hawa wana penalties za ajabu kabisa. Adhabu zinaanzia dola 4,000 kwenda juu. Unapima mzani wa kwanza, wa pili, wa 3, mzigo upo sawa. Mzani wa 4, unaambiwa mzigo umezidi, penalty dola 4,000. Njiani hujaongeza wala kupunguza mzigo lakini mwanzoni mzigo unaambiwa ulikiwa sawa, mwishoni unaambiwa mzigo umezidi.
Kwa ujumla, Tanzania hapafai kwa uwekezaji. Katika Africa, Ghana is the best, na ndiyo maana uchumi wake unakua kwa kasi kitakwimu na jwa macho. Siyo huu wa Tanzania unakua kwenyr makaratasi ya watawala.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo si la kushangaza TZ ,Kama wanawanyanyasa na kupora raia wake sembuse hao wageni?na ukilalamika tu kesi ya uhujumu uchumi inakuhusu, ukiumizwa unatakiwa ulie machozi yarudi ndani yasitoke njeBasing on our current regime I wont ignore the contents in that letter. TRA, Traffic and all others that is there natural habit, complaints everyday from everywhere.
Sijui ni wawekezaji gani tunaosema kila siku tunawavutia, huyo mchina anadai kapoteza more than 1 mil. US dollar; na sio kwasababu biashara yake ilikuwa ngumu, tatizo ni hao TRA na wenzao na rushwa juu kila siku wanagonga hodi mlangoni kwake.
Kwanini wamechagua hapo na sii kwinginekoMkuu,
Usidakie taarifa ukidhani unafurahisha baadhi ya watu wanaofurahia tukio kama hilo. Ukweli ni kwamba chuo husika kimeongeza baadhi ya kozi hivyo kupelekea kuwa na mahitaji ya nyongeza ya madarasa na mabweni. Mpaka sasa mabweni bado hayajakamilika ndio maana uongozi uliona ni busara kuwatafutia wanafunzi mahali pa kuishi ili wasikose masomo kwa kuahirisha muhula. When you get a story cross check it for authenticity, thus healthful consumption to readers.
Wafanyabiashara wengi kkoo wamefungiwa A/C kienyeji kihuni huni na maafisa wa TRA wakaporwa pesa zao kienyeji kwa njia haramu za kishetani ndiyo maana biashara zimedorola kkoo huku wengi wakilia kimya kimya wanaogopa kusema wasije kubambikiwa kesi za uhujumu uchumi na utakatishaji fedhaHilo si la kushangaza TZ ,Kama wanawanyanyasa na kupora raia wake sembuse hao wageni?na ukilalamika tu kesi ya uhujumu uchumi inakuhusu, ukiumizwa unatakiwa ulie machozi yarudi ndani yasitoke nje
Hii nchi ni ngumu sana ku survive kwa sasa,kunyang'anywa hela kinguvu limekuwa swala la kawaida tu,sijajua huko tuendako kodi watakuwa wanatoa wapi,maana wa kuwatoza ndio wanawamaliza kabisaWafanyabiashara wengi kkoo wamefungiwa A/C kienyeji kihuni huni na maafisa wa TRA wakaporwa pesa zao kienyeji kwa njia haramu za kishetani ndiyo maana biashara zimedorola kkoo huku wengi wakilia kimya kimya wanaogopa kusema wasije kubambikiwa kesi za uhujumu uchumi na utakatishaji fedha