Tanzania na Uganda kurahisisha biashara

Swahili_Patriot

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2018
Posts
358
Reaction score
831
Uganda na Tanzania zaingia mkataba kurahisisha mahusiano ya kibiashara baina ya nchi hizo mbili. Nchi hizi zimekubaliana kuondoa vibali vya biashara kwa yabiashara wanaotaka kuingia ndani na nje ya nchi hizo.
Swala hili linaiweka Tanzania katika nafasi nzuri ya kibiashara ukizingatia uwepo wa mafuta nchini Uganda amboyo yatainufaisha Tanzania pakubwa kwa shehena hii ghali. Pia, Tanzania imeingia mkataba wa kuiuzia Uganda gesi asilia ambayo itaisaidia nchi hio kukidhi mahitaji yake ya kupata umeme wa bei nafuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Saa ngapi uganda wanatoa kwanza jiwe lao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swafiiii sana walahi!
 
Uganda forum must be so boring or some must be so dumb to use their little brain.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…