Tanzania na Uganda tuungane kusaidia wenzetu Wakenya waliokumbwa na baa la njaa

Nimeitaja Tz kwasababu hii forum inajadiliwa na waTz na Wakenya, Kama ingekua ni forum inajadiliwa na Wakenya na Wasomali au Wanaigeria basi nigetaja hizo nchi... do't think you are special...... Its called relevance!!!
 
Kama mwaka jana pia walipewa msaada, na mwaka huu bado wanahitaji msaada......... Mwaka Jana bei ya mahindi ilipanda hadi 200, sahii bei ni 100, na bado wanahitaji msaada..... Sasa hapo unaona chanzo cha shida ni nini? ni ukosefu wa chakula au ukosefu wa mvua????... The only common denominator ni ukosefu wa Maji..... Hebu sasa niletee video ya huko Turkana ambapo inaonyesha kulinyesha mvua na watu bado wakahitaji msaada
 
What happened to this ? And how about the two aquifers discovered?

Kenya discovers huge water source
 
What happened to this ? And how about the two aquifers discovered?

Kenya discovers huge water source
Maji hayo yanahitaji disalination plants, kitu ambacho tumeshindwa kufanya na maji ya bahari kule mombasa, maji ya turkana yako na chumvi kuliko ya bahari..

--------------------
Water cabinet secretary Simon Chelugui said yesterday that tests on the vast aquifer in Kenya’s drought-stricken Turkana region showed the water resource is too salty to drink and cannot be used for farming.
“We have been trying to explore this resource and have found the water to be unfit for human consumption,” said Chelugui.
The CS, who was making submissions to the Parliamentary Committee on Environment, Water and Natural Resources, added that it would also be very expensive to desalinate.
State gives final verdict on Turkana water aquifer
 
Huu ubishi wenu ndio huwaponza, serikali yenu kama ina mahindi haiwezi shindwa lisha mtu hata kwa bei ya hasara ili mradi watu wasife, mnatia aibu tutawapeni mahindi ya bure, mnatia aibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani huko turkana si wangejenga hata dams kubwa kadhaa ...
Afu huko turkana si ndio lipo ziwa turkana y wasitumie hilo kusambaza Maji watu walime hata kwa kumwagilia... Mbona tz tumevuta Maji ziwa Victoria mpakaa shinyanga nadhani na singida ka sijakosea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ziwa victoria ni maji masafi, Ziwa turkana ni maji ya chumvi, i.e Maji masafi ya Chipa yako na PH level ya 7, wakati average Alkaline(salt) level ya maji ya baharini ni 8.1 PH, Lakini alkaline level ya ziwa Turkana ni 9.05 PH..
 
Hela za dams na Galana irrigation project Wakikuyu wameiba!
 
Usitoe msaada kwa masimango na vijembe.
Write your reply...
hii sijui ni middle income ya aina gani aiseee

Tanzania ikisaidia waturkana na chakula humu hakutakalika kwa sababu akina Geza Ulole watafungua mithread ya majigambo humu vile wanalisha Kenya. Hakuna cha bure duniani kwa hivyo fanyeni hivi wasaidieni waturkana na chakula wasife njaa nao wawasaidie kuwatom.ba dada zenu wasife kwa sababu ya saratani .Wataacha kuweka toBacco mle ndani.
Mtafaidiana.
 
Hela za dams na Galana irrigation project Wakikuyu wameiba!
Kenya zaidi ya kupiga mdomo na kujifanya wajuaji, hakuna kitu wanaweza kufanikisha, serikali yao is too weak. Hata ikitoa pesa mradi hauwezi kutekelezeka kwasababu serikali hauwezi kusimamia, miradi inayofanikiwa Kenya ni ile ya private sectors.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poleni, Sindiyo kule kila raia ana bunduki yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una Maneno Wewe mtoto, Hahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…