Tanzania na Uganda tuungane kusaidia wenzetu Wakenya waliokumbwa na baa la njaa

Kenya tafuteni suluhu ya hili tatizo ila mkitegemea jirani mtadhalilika kwa matusi.
Poleni, Sindiyo kule kila raia ana bunduki yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndo maana tulianzisha Lapsset Project ambayo itafikia haya Maeneo yote kame... Northern Kenya hakuishiki ilhali ni asilimiia 70% ya Kenya..... Lapsset project ilianzishwa ili kuleta maendeleo maeneo haya manake kwasasa 70% ya wakenya wote wanaishi ndani ya 30% ya ardhi.... Huko kwengine ni watu wachache



70% of Kenyans live in 30% of the land mass


Na pia ukichunguza zaidi kwa google maps satellite image utagundua hayo maeneo ambayo wakenya wengi wamekimbia ni hayo maeneo kame



 
Najua humu tunapiga blah blah na hatuwezi tafuta/pata suluhisho lakini isiwe sababu ya kushindwa kujadili EAC solution ya tatizo kama. Leo kwa Kenya kesho kwa Tz keshokutwa kwa Uganda
Wakati tunapigana vijembe humu lazima tukumbuke bado sote kilimo chetu kinategemea rehma za Mungu
Let's grow up, let's talk EA solution


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Punguza theories nyingi, kama mlishindwa mradi mdogo wa Galana kulalu ambao Kwakweli ungeweza kutoa jibu la haraka, na haukuwa unategemea ushiriki wa nchi jirani, vipi uzungumzie Lapset ambao ni long-term project kuweza kutoa suluhu ya acute problem?. Please get out of denial, Lapset died alongside with CoW.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kwa hali ya mvua nayoiona maeneo mengi haswa kati ya nchi, kaskazini na Ziwa Victoria na sisi Tanzania tujiandae kwa njaa kubwa mwaka huu 2019/2020.
 
Mkapa alifuta njaa Tanzania! Now we r doing this after Mtwara corridor! Malawi and Tanzania Launch $829m Songwe River Basin Agreement
 
Kwa hali ya mvua nayoiona maeneo mengi haswa kati ya nchi, kaskazini na Ziwa Victoria na sisi Tanzania tujiandae kwa njaa kubwa mwaka huu 2019/2020.
Peleka ujinga our food reserve is always good to supply where there is deficiency! The siX food basket regions r in the Southern highlands! N now irrigation programs r all over the country!
 
Mikoa yetu mikame tunaijengea mabwawa

 
March 19, 2019
Nairobi, Kenya

Mjadala wa njaa katika Bunge la Taifa jijini Nairobi

Wakenya wakasirishwa na ripoti za baa la njaa katika Kaunti ya Turkana na Baringo | Jukwaa la KTN


Mbunge wa Samburu ya Magharibi Bi. Naisula Lesuuda ametoa hoja katika Bunge la Taifa mjini Nairobi juu ya udhaifu wa utendaji kazi wa Serikali Kuu. Serikali Kuu ina mipango yake ambayo imekuwa ni ahadi hewa kwa kaunti (majimbo) za Kenya.

Watu wamefariki katika eneo la Turkana kusini, hali imeendelea kuwa tete katika kaunti ya Turkana huku wadau wanaohusika wakionekana kunyosheana vidole vya lawama.

Pia changamoto za kuwa na mfumo wa utawala wa majimbo (kaunti / ugatuzi ) dhidi ya serikali kuu ya Nairobi unaokinzana kimipango zinaanza kuonekana. Maana mabunge ya kaunti pia visheni za magavana yanatofautiana malengo na Bunge la Taifa na serikali Kuu ambazo zipo Nairobi.
 
njaa inakupa stress,very sorry
 

Unahamu sana, unahitaji kushughulikiwa
 
Hii habari sijisumbui hata kuisoma maana nakumbuka katika tukio la Westgate huyu Ruto alikanusha pia hivyohivyo akadanganya kuwa Shabab wanachoma mito ya magodoro ndio maana unatoka moshi mweusi, kumbe mashababi wazee wa kazi wamelipua store ya magari na floor nzima humo ndani.

Me sielewi kwann hadi leo jamaa bado yupo kwenye system cjui ndio zile za kabila letu bwana tubebane hivihivi[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
shida iko hapa hadi watu wanakufa na Kenye ni nchi ya uchumi wa kati kwanin serikali ya kenya na wakenya ambao uchumi wao ni nzuri sana wasiwasaidie nduguzao mapema kwa kuwapa chakula bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…