Bunge la Umoja wa Ulaya limeazimia Azimio linalozitaka Tanzania na Uganda kusitisha mara moja uendelezaji wa Miradi ya mafuta na Gesi katika Ukanda wa Afrika Mashariki.
Wanadai miradi hiyo inaharibu mazingira.
Wakati Bunge la Tanzania likiwa kimya, Bunge la Uganda limelaani azimio hilo walilodai ni kiwango cha juu cha Ukoloni Mamboleo na ubeberu dhidi ya Uhuru wa Uganda na Tanzania.
Your browser is not able to display this video.
Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Kabaale – Hoima Nchini Uganda kwenda kwenye peninsula ya Chongoleani Mkoani Tanga Nchini Tanzania, ni Mradi wenye urefu wa jumla ya kilomita 1443 kati ya hizo kilomita 296 zipo Uganda na kilomita 1147 zipo Tanzania.
Bomba linapita katika mikoa 8 ya Tanzania Bara ambayo ni Kagera, Geita, Shinyanga, Tabora, Singida, Dodoma, Manyara na Tanga, vilevile linapita katika wilaya 24, kata 134 na vijiji zaidi ya 180.
Matokeo ya utafiti uliofanywa na kampuni za kimataifa za utafutaji na uchimbaji wa mafuta na gesi za TOTAL, TULLOW na CNOOC ulibaini uwepo wa mafuta ghafi takribani mapipa bilioni 6.5. Kutokana na ugunduzi huo imebainika uwezekano wa kuvuna mapipa kati ya bilioni 1.2 hadi 1.7. Kutokana na mahusiano ya ushirikiano ya muda mrefu na faida za kupitisha bomba nchini Tanzania Serikali ya Uganda na wawekezaji wa mkondo wa juu waliamua kujenga mradi huu kupitia Tanzania kutoka Hoima Uganda hadi Bandari ya Tanga.
Lengo la Mradi
Lengo la mradi huu ni kuwezesha mafuta yatakayozalishwa Uganda kusambazwa katika soko la ndani na sehemu inayobaki kuuzwa nje kwenye soko la kimataifa kupitia bomba la mafuta.
Gharama za kukamilisha ujenzi wa mradi wa bomba zinatarajia kufikia takribani Shilingi Trilioni 8 za Kitanzania. Bomba hili lilitarajiwa kujengwa na kuendeshwa na kampuni za TOTAL ya Ufaransa, CNOOC ya China na TULLOW ya Uingereza, kwa ubia na Kampuni ya Taifa ya Mafuta ya Uganda (UNOC) na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC).
Sikieni enyi nchi na wakaao ndani yake. Vita ya uchumi ni ngumu na kuishinda kwake ni kushupaza shingo bila kubwabwaja. Yaani wanaona tu mnalaza pipes bila kuwatajataja wala kuwabeza na kuwaita majina yasiyo faa n.k.
India china ethiopia n.k miradi yao mikubwa waliziba masikio na wakafanya.
Kwenye swala la nishati sijawahi kuwa rafiki na yeyote anaye kwamisha huo ndio mskmamo wangu
Nchi zitajikwamua kivipi ikiwa nishati ni ya kuunga unga? Nchi zetu zisiyumbishwe na kigezo cha mazingira. Ni ama wazungu wazime viwanda vyao au watuache tuendelee na mikakati yetu.
Hivi ndani ya bunge letu la michongo ni mbunge gani anaweza kujenga hoja juu ya hilo? Pengine kukaa kwao kimya kumeepusha aibu kubwa zaidi maana kama wangeongea hatuna hakika wangeropoka nini.
Nchi zitajikwamua kivipi ikiwa nishati ni ya kuunga unga? Nchi zetu zisiyumbishwe na kigezo cha mazingira. Ni ama wazungu wazime viwanda vyao au watuache tuendelee na mikakati yetu
Ktk medani za kimataifa sioni kama tunayo hiyo timu. Watu wanawaza kujijenga kisiasa ili wapate vyeo vya juu zaidi kuliko kuangalia maslahi mapana ya nchi.
Sikieni enyi nchi na wakaao ndani yake. Vita ya uchumi ni ngumu na kuishinda kwake ni kushupaza shingo bila kubwabwaja. Yaani wanaona tu mnalaza pipes bila kuwatajataja wala kuwabeza na kuwaita majina yasiyo faa n.k.
India china ethiopia n.k miradi yao mikubwa waliziba masikio na wakafanya.
Kwenye swala la nishati sijawahi kuwa rafiki na yeyote anaye kwamisha huo ndio mskmamo wangu
Bunge la Umoja wa Ulaya limeazimia Azimio linalozitaka Tanzania na Uganda kusitisha mara moja uendelezaji wa Miradi ya mafuta na Gesi katika Ukanda wa Afrika Mashariki.
Ukweli wa mambo ni huu: Tungekuwa (Waafrika, kiujumla), na akili kidogo za kujitambua, ingekuwa wakati mwafaka kabisa kuanza mchakato wa kuwaweka chini ya ukoloni wetu hawa watu waliotuweka kwenye ukoloni wao miaka iliyopita.
Ni wazi kabisa, hawa watu wanahitaji kutawaliwa kutokana na kutapatapa kwao kunakozidi kuonyesha utayari wao wa kuwa chini ya himaya yetu.
Huenda kizazi kitakachofuata baada yetu kinaweza kuwa na akili nzuri za kuwaweka chini hawa watu.
Ni wazi hawa watu sasa wanahitaji kutawaliwa ili akili ziwarudi kichwani.
Sikieni enyi nchi na wakaao ndani yake. Vita ya uchumi ni ngumu na kuishinda kwake ni kushupaza shingo bila kubwabwaja. Yaani wanaona tu mnalaza pipes bila kuwatajataja wala kuwabeza na kuwaita majina yasiyo faa n.k.
India china ethiopia n.k miradi yao mikubwa waliziba masikio na wakafanya.
Kwenye swala la nishati sijawahi kuwa rafiki na yeyote anaye kwamisha huo ndio mskmamo wangu
Hakuna sababu muhimu ya kuendelea kuwapapatikia hawa watu.
Dunia inavyogeuka sasa, utegemezi kwao hautakuwa wa lazima sana, kama China, India, Urusi na mataifa mengine yataamua kuachana na mifumo inayotumiwa na hawa wahuni kuendelea kutawala dunia kiuchumi. Teknologia sasa imeenea, haihodhiwi tena na haya mataifa machache.
Bomba litapita karibu kabisa na mbuga ya Murchison ambayo wageni wake wengi ni kutoka Ulaya khasa "royal families" na wengine wenye mapesa.
Hivyo wanaharakati tayari wamevuta mpunga na wameanza na kushambulia kampuni za mafuta zitazoshirikiana kujenga hilo bomba pamoja na mabenki yatayotoa fedha kugharamia mradi.
Na AU walipoaswa kuiingilia kati moja kwa moja kwa kutoa kauli ya kupinga ukwamishwaji huo.
Uganda na Tanzania wao waendelee na ujenzi wa bomba ambalo lajengwa Afrika na sio Ulaya na ni kwa manufaa ya waafrika.
Bomba litapita karibu kabisa na mbuga ya Marchison ambayo wageni wake wengi ni kutoka Ulaya khasa "royal families" na wengine wenye mapesa.
Hivyo wanaharakati tayari wamevuta mpunga na wameanza na kushambulia kampuni za mafuta zitoshirikiana kujenga hilo bomba pamoja na mabenki zitazotoa fedha kugharamia mradi.
Na AU walipoaswa kuiingilia kati moja kwa moja kwa kutoa kauli ya kupinga ukwamishwaji huo.
Uganda na Tanzania wao waendelee na ujenzi wa bomba ambalo lajengwa Afrika na sio Ulaya na ni kwa manufaa ya waafrika.
Sikupingi kwa lolote. Utakuwa ni ujuha kutetemekea mataifa ambayo tayari wamesimika viwanda vizito huku wakiviendesha kwa nishati ambayo hawataki tuwe nayo.
Bunge la Umoja wa Ulaya limeazimia Azimio linalozitaka Tanzania na Uganda kusitisha mara moja uendelezaji wa Miradi ya mafuta na Gesi katika Ukanda wa Afrika Mashariki.
Wasalaam wana JF Nikitafakari namna mgogoro wa Urusi na Ukraine ulivyokuwa handled na madhara ambayo wanayapata kwa kujitakia. Ninashawishika bila shaka yoyote kuamini hawa watu wana IQ ndogo sana. Kipimo cha akili ya mwanadamu ni namna anavyokabiliana na mazingira yake ikiwa ni pamoja na...