Tanzania na umaskini wa CCM

Tanzania na umaskini wa CCM

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Kiukweli sio leo wala kesho CCM itakuja kutoka kimapinduzi tena yamebakia nchi ya Afrika.

Tanzania imetawaliwa na mtaji wa CCM mpaka kufikia wakituambia kadi ya CCM unaweza kukopea benki na kufanyia kila kitu.

Jambo hili linapelekea hatari kama iliyoundwa na Raisi aliyetenguliwa Sudani Omary Bashiri kuunda jeshi ndani ya jeshi.

CCM imekuwa ikizorotesha maendeleo ili kujifanya kesho ndio wanatatua changamoto.
tuna kila kitu ila tumekuwa maskini.

FB_IMG_1684854692484.jpg
 
Tatizo la Watanzania ni uoga tu uliopandikizwa kwenye akili zetu na hawa watawala wa ccm.

Yaani kutokana na huu uoga, wanatufanyia vile wapendavyo. Tena kwa jeuri, kejeli, dharau, kiburi, na kwa kila aina ya ubabe.
 
Back
Top Bottom