Kaka yake shetani JF-Expert Member Joined Feb 1, 2023 Posts 5,771 Reaction score 14,732 Jun 7, 2023 #1 Kiukweli sio leo wala kesho CCM itakuja kutoka kimapinduzi tena yamebakia nchi ya Afrika. Tanzania imetawaliwa na mtaji wa CCM mpaka kufikia wakituambia kadi ya CCM unaweza kukopea benki na kufanyia kila kitu. Jambo hili linapelekea hatari kama iliyoundwa na Raisi aliyetenguliwa Sudani Omary Bashiri kuunda jeshi ndani ya jeshi. CCM imekuwa ikizorotesha maendeleo ili kujifanya kesho ndio wanatatua changamoto. tuna kila kitu ila tumekuwa maskini.
Kiukweli sio leo wala kesho CCM itakuja kutoka kimapinduzi tena yamebakia nchi ya Afrika. Tanzania imetawaliwa na mtaji wa CCM mpaka kufikia wakituambia kadi ya CCM unaweza kukopea benki na kufanyia kila kitu. Jambo hili linapelekea hatari kama iliyoundwa na Raisi aliyetenguliwa Sudani Omary Bashiri kuunda jeshi ndani ya jeshi. CCM imekuwa ikizorotesha maendeleo ili kujifanya kesho ndio wanatatua changamoto. tuna kila kitu ila tumekuwa maskini.
Infropreneur JF-Expert Member Joined Aug 15, 2022 Posts 9,830 Reaction score 20,686 Jun 7, 2023 #2 Uafrika hasa utanzania ni LAANA
F fazili JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 16,427 Reaction score 22,418 Jun 7, 2023 #3 Jamani tuiobdoe CCM sasa!
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Jun 7, 2023 #4 Tatizo la Watanzania ni uoga tu uliopandikizwa kwenye akili zetu na hawa watawala wa ccm. Yaani kutokana na huu uoga, wanatufanyia vile wapendavyo. Tena kwa jeuri, kejeli, dharau, kiburi, na kwa kila aina ya ubabe.
Tatizo la Watanzania ni uoga tu uliopandikizwa kwenye akili zetu na hawa watawala wa ccm. Yaani kutokana na huu uoga, wanatufanyia vile wapendavyo. Tena kwa jeuri, kejeli, dharau, kiburi, na kwa kila aina ya ubabe.