Henrique kiswaga
New Member
- Jun 2, 2024
- 1
- 2
TRA watembee na documents ambazo zinamuwezesha mtu aliyefungua biashara yake bila leseni ya biashara wanapofika madukani wakikuta hauna leseni basi hapo hapo uwe unabuwezo wabkupewa tin, pia wakupatie na leseni yako ili kudhibiti ukwepaji kodi kuliko kumfungia mtu biashara yake.
Sisi ni wateja wao tunahitaji faraja kutoka kwao na siyo kumfungia mtu duka lake, sio wote wanaofahamu leseni wanaipataje.
Ni hayo tu kwa upande wa TRA 🙏
Sisi ni wateja wao tunahitaji faraja kutoka kwao na siyo kumfungia mtu duka lake, sio wote wanaofahamu leseni wanaipataje.
Ni hayo tu kwa upande wa TRA 🙏
Upvote
9