SoC04 Tanzania na upatikanaji leseni mkononi

Tanzania Tuitakayo competition threads

Henrique kiswaga

New Member
Joined
Jun 2, 2024
Posts
1
Reaction score
2
TRA watembee na documents ambazo zinamuwezesha mtu aliyefungua biashara yake bila leseni ya biashara wanapofika madukani wakikuta hauna leseni basi hapo hapo uwe unabuwezo wabkupewa tin, pia wakupatie na leseni yako ili kudhibiti ukwepaji kodi kuliko kumfungia mtu biashara yake.

Sisi ni wateja wao tunahitaji faraja kutoka kwao na siyo kumfungia mtu duka lake, sio wote wanaofahamu leseni wanaipataje.

Ni hayo tu kwa upande wa TRA πŸ™
 
Upvote 9
leseni ya biashara haitolewi na TRA. TRA hutoa TIN na TAX CLEARANCE CERTIFICATE. Leseni hutolewa na Halmashauri / manispaa
 
Naunga mkono hoja.
 
TRA wanakufanyia makadirio. Ukishalipa wanasumbuwa kutoka clearance.
Wapi huko wanasumbua kutoa clearance?? Mbona tunapata clearance certificate kirahisi tuu kama huna deni nao??
 
LESENI HAWATOI WAO ,LESENI NI YA MANISPAA HUSIKA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…