Tanzania na urasimu.

Tanzania na urasimu.

Jilanga

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2011
Posts
255
Reaction score
40
Tanzania ni miongoni mwana mataifa ambayo yapo makini sana katika usajili wa makampuni pamoja na biashara nyinginezo kwa kuzingatia kanuni na taratibu za kisheria. Kama inavyoelekeza visit www.doingbusiness.org.
SWALI langu kwa wanaJF ikiwa ni kweli beaurocractic and legal practice are observed and properly adhered iweje tunaingia mikataba fake na Makampuni hewa? Nawasilisha
 
Back
Top Bottom