NG'HOMBA YA BOCHE
Member
- Mar 29, 2013
- 27
- 7
Kumekuwepo na kugugumizi cha kushindwa kuweka wazi mishahara ya viongozi wakuu wa nchi yetu hata baada ya nchi kuingia mkataba wa UHURU NA UWAZI na nchi ya marekani...Bado Tanzania imeendelea kuficha ficha ukweli huu, hili likiendelea kuwekewa mkazo na waziri wa nchi ofisi ya raisi-menejimenti ya utumishi wa uma(Celina Ompeshi Kombani)
pamoja na Taasisi hizi za kiserikari kukataa kutaja mshahara wa raisi, kiongozi wa chadema mh Zito Zuberi Kabwe akiwa anahutubia mkutano wa hadhara Tabora, amejitokeza na kutufumbua macho juu ya mishahara ya hawa wakubwa zetu ikiwa ni mishahara ya
:1 Raisi wa nchi takiribani kias cha TSH 385,000,000(mia tatu themanini na tano millioni kwa mwaka) ambacho ni sawa na kiasi cha Tsh mill 32 kwa mwezi
:2WAZIRI MKUU Millioni 312 kwa mwaka ambacho ni takiribani millioni 26 kwa mwezi:::::::::::::::::
Serikali yetu inatuamisha ni makosa kutaja mshahara wa mtumishi wa umma ilhali mwajiri wa mtumishi huyu ni mwananchi!!!
Serikali inagima kutaja mishahara ya watumishi wake hapo hapo inaingia mikataba ya uwazi na uhuru..Nchi nyingi afrika na duniani kwa ujumla, mishahara ya viongozi wa serikari inafahamika kwa muda sasa...Baadhi ya nchi hizo ni pamoja na:::
MAREKANI
Nchini Marekani, mshahara wa rais unajulikana tangu mwaka 1789 kiongozi wa nchi hiyo alipokuwa analipwa Dola 25,000 kwa mwaka.
Kuanzia 2001 hadi sasa, Rais wa Marekani analipwa Dola 400,000 (Sh 640 milioni) kwa mwaka, sawa na Sh 53.3 milioni kwa mwezi.
AFRIKA YA KUSINI
Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma analipwa Randi 2 ,917 038 sawa na zaidi ya Sh400 milioni za Kitanzania kwa mwaka, Rais wa Ufaransa, Francois Hollande Sh475 milioni, Waziri Mkuu wa Uingereza, David Cameron Sh338 milioni, Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya Sh277 milioni na Rais wa Namibia, Hifikepunye Pohamba Sh226 milioni kwa mwaka.
Wengine na malipo wanayopata kwa mwaka ni Marais wa Urusi, Vladimir Putin, Sh174 milioni, Ellen Johnson Sirleaf wa Liberia Sh137 milioni, Michael Satta wa Zambia, Sh126 milioni, Rais wa Angola, Jose dos Santos Sh91 milioni, Rais wa Lesotho, Profesa Pakalitha Mosisili Sh88 milioni, Armando Guebuza wa Msumbiji, Sh84 milioni na Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Xi Jinping Sh60 milioni.
Wengine ni Rais wa India, Pranab Mukherjee Sh49 milioni, Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe Sh27 milioni, Naibu Rais wa Afrika Kusini, Kgalema Mothlanthe Sh331 milioni, Waziri Mkuu wa Namibia, Nahas Angula Sh160 milioni, huku Baba Mtakatifu wa Kanisa la Romani Catholic, Papa Benedict XVI akifanya kazi bila kulipwa mshahara....
Je, kwa nchi kama Tanzania, ni sahihi kwa viongozi wetu kulipwa mishahara mikubwa kiasi hicho huku nchi kubwa kama Urusi raisi wake akilipwa pesa ndogo kuliko raisi wa nchi masikini kama Tanzania??...