Tanzania na wanasiasa wake vituko kweli

Baba ilumba

Member
Joined
Apr 18, 2020
Posts
37
Reaction score
49
Wasalaam wanajf ,nikitambo kidogo kimepita bila ya kuwemo humu basi natumai mu wazima wote.

Leo nikiwa mjini bana kuna katukio kamenifurahisha na kuniacha mdomo wazi kwa kweli.
Nimewakuta vijana wakiwa wanabishana wenyewe kuhusu hawa wanasiasa wetu wanaoonekana kila baada ya miaka5 .

Aise ubishani ulikuwa wa kiwango cha lami😂kwa kweli na mm kama baba ilumba nikaona acha vijana wabishane wazee tuendelee kula tu jasho letu tukizisongesha siku zetu hakika.

LENGO LANGU:Ni vema tukawashauri vijana hasa katika kipindi hiki cha uchaguzi wasiegamie katika siasa Bali wawe wabunifu na wachapa kazi.

*siasa mchezo mbaya*
-babu ilumba-
 
Wengine wanapiga kazi humo humo kwenye ushabiki na upambe. Si ajabu hapo walikuwa kazini. Hiki ni kipindi cha mavuno !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…