According to videoTanzania na Zanzibar? Mzee mbona unachanganya madesa.
Poorest kwann ?Naona Couple ya Kizanzibar ndio the poorest couple kwenye video nzima
Ed sheraan wametoa wimbo Mpya unaoitwa put it all on me.kuna kipande kinaonesha mandhari ya Tanzania na Zanzibar,imekaa vizuri sana,kama haujaicheki ingia youtube
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah wimbo mkali Sana , Ed si mwingereza waingereza wanaijua Zanzibar kwa kuwa waimetawala , ni Kama vile Hong Kong
Video inaonekana hivyoTanzania na zanzibar ni mikoa au?
Hivi ungeandika Tanzania then ukataja maeneo yaliyoonekana ungepata shida gani?