Tanzania namba 1 Africa mwaka 2018 katika UCHUMI JUMUISHI (Inclusive Economy)

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,887
World Economic Forum imeitaja Tanzania kuwa nchi namba moja kwa mwaka 2018 katika UCHUMI JUMUISHI (Inclusive Economy) katika nchi za Africa, ikishika namba 48 katika Emerging Economies duniani!

Pongezi za dhati zimfikie rais wetu Dkt. John Pombe Magufuli kwa kuishi na kutekeleza ahadi alizotoa kwa watanzania mwaka 2015 alipoahidi kuhakikisha UCHUMI WA TANZANIA UNAMILIKIWA NA WATANZANIA WOTE NA SIO WATU WACHACHE TU!

Hongera kwa watanzania wote kwa kuendelea kuchapa kazi na kuhakikisha uchumi wetu unakua, lakini pia kwa sekta zote kuzidi kushirikiana ili kuleta maendeleo kwa watanzania wote.

26991597_1509722709125000_4043063589603902656_n.jpg
 
Hii ipo humu tangu jana nadhani..
Cc Moderator
 
Endelea kushuka chini kuna nchi ninataka kujua SOMALIA ipo namba ngapi?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ubepari ni kitu kibaya sana
 
...hizi takwimu hizi Ooh Ngoja nipite kimya
 
Ogopa sana hizi report zenye kuisifia nchi especially kwa nchi inayowabana wazungu na wezi wengine km ya kwetu hasa awamu hii.

Hizo report sio za kuzichekea hata Cku moja, mataifa ya magharibi wanajua sana propaganda hasa za kuwafurahisha viongozi wasiowataka na wanaotafutiwa sababu za kulegeza msimamo au kuwamaliza!

Tangu Dk JPM aingie madarakani na kuanza kuwabana wazungu kumekuwa na kila aina ya report kutusifia, Mara, uchumi wetu unakua kwa kasi zaidi Africa, Mara jpm Rais Bora Africa....

Hii ni hatari sana, wanajaribu kumlegeza awe km viongozi wengine wa Africa ili wafanye wanachotaka wao
 
Tumekusikia mkuu, maoni yako ni haki yako, ila kwasasa tuendelee kujipongeza[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Ogopa sana hizi report zenye kuisifia nchi especially kwa nchi inayowabana wazungu na wezi wengine km ya kwetu hasa awamu hii.

Hizo report sio za kuzichekea hata Cku moja, mataifa ya magharibi wanajua sana propaganda hasa za kuwafurahisha viongozi wasiowataka na wanaotafutiwa sababu za kulegeza msimamo au kuwamaliza!

Tangu Dk JPM aingie madarakani na kuanza kuwabana wazungu kumekuwa na kila aina ya report kutusifia, Mara, uchumi wetu unakua kwa kasi zaidi Africa, Mara jpm Rais Bora Africa....

Hii ni hatari sana, wanajaribu kumlegeza awe km viongozi wengine wa Africa ili wafanye wanachotaka wao

huyu hadanganyiki. amesema it's better to be unpopular President kuliko kuona mambo ya hovyo yanayotendeka na kuyafumbia macho.
 
Ogopa sana hizi report zenye kuisifia nchi especially kwa nchi inayowabana wazungu na wezi wengine km ya kwetu hasa awamu hii.

Hizo report sio za kuzichekea hata Cku moja, mataifa ya magharibi wanajua sana propaganda hasa za kuwafurahisha viongozi wasiowataka na wanaotafutiwa sababu za kulegeza msimamo au kuwamaliza!

Tangu Dk JPM aingie madarakani na kuanza kuwabana wazungu kumekuwa na kila aina ya report kutusifia, Mara, uchumi wetu unakua kwa kasi zaidi Africa, Mara jpm Rais Bora Africa....

Hii ni hatari sana, wanajaribu kumlegeza awe km viongozi wengine wa Africa ili wafanye wanachotaka wao
Ukijua anachokifanya magu hutashangaa hizo report
 
Naona wameamuakukimbia kabisa leo, hili ni fundishe waache kushabikia GDP isiyosaidia wananchi walio wengi, hiyo nchi haiwasaidii wananchi wa kawaida, ipo mikononi mwa mabepari na wanasiasa wachache.
 
World Economic Forum imeitaja Tanzania kuwa nchi namba moja kwa mwaka 2018 katika UCHUMI JUMUISHI (Inclusive Economy) katika nchi za Africa, ikishika namba 48 katika Emerging Economies duniani!

Pongezi za dhati zimfikie rais wetu Dkt. John Pombe Magufuli kwa kuishi na kutekeleza ahadi alizotoa kwa watanzania mwaka 2015 alipoahidi kuhakikisha UCHUMI WA TANZANIA UNAMILIKIWA NA WATANZANIA WOTE NA SIO WATU WACHACHE TU!

Hongera kwa watanzania wote kwa kuendelea kuchapa kazi na kuhakikisha uchumi wetu unakua, lakini pia kwa sekta zote kuzidi kushirikiana ili kuleta maendeleo kwa watanzania wote.

26991597_1509722709125000_4043063589603902656_n.jpg

Utumbo mtupu
 
Back
Top Bottom