Hii ipo humu tangu jana nadhani..World Economic Forum imeitaja Tanzania kuwa nchi namba moja kwa mwaka 2018 katika UCHUMI JUMUISHI (Inclusive Economy) katika nchi za Africa, ikishika namba 48 katika Emerging Economies duniani!
Pongezi za dhati zimfikie rais wetu Dkt. John Pombe Magufuli kwa kuishi na kutekeleza ahadi alizotoa kwa watanzania mwaka 2015 alipoahidi kuhakikisha UCHUMI WA TANZANIA UNAMILIKIWA NA WATANZANIA WOTE NA SIO WATU WACHACHE TU!
Hongera kwa watanzania wote kwa kuendelea kuchapa kazi na kuhakikisha uchumi wetu unakua, lakini pia kwa sekta zote kuzidi kushirikiana ili kuleta maendeleo kwa watanzania wote.
Endelea kushuka chini kuna nchi ninataka kujua SOMALIA ipo namba ngapi?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]World Economic Forum imeitaja Tanzania kuwa nchi namba moja kwa mwaka 2018 katika UCHUMI JUMUISHI (Inclusive Economy) katika nchi za Africa, ikishika namba 48 katika Emerging Economies duniani!
Pongezi za dhati zimfikie rais wetu Dkt. John Pombe Magufuli kwa kuishi na kutekeleza ahadi alizotoa kwa watanzania mwaka 2015 alipoahidi kuhakikisha UCHUMI WA TANZANIA UNAMILIKIWA NA WATANZANIA WOTE NA SIO WATU WACHACHE TU!
Hongera kwa watanzania wote kwa kuendelea kuchapa kazi na kuhakikisha uchumi wetu unakua, lakini pia kwa sekta zote kuzidi kushirikiana ili kuleta maendeleo kwa watanzania wote.
Nimeona imewekewa N/A yaani "Not Ask" about this shithole country[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]SOMALIA ipo chini kabisa yaani karibu na mkia.
Na msukumaHuo uchumi umejumuisha magu, bashite, le kibamia, jenny muro, chakubanga etc.
Tumekusikia mkuu, maoni yako ni haki yako, ila kwasasa tuendelee kujipongeza[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Ogopa sana hizi report zenye kuisifia nchi especially kwa nchi inayowabana wazungu na wezi wengine km ya kwetu hasa awamu hii.
Hizo report sio za kuzichekea hata Cku moja, mataifa ya magharibi wanajua sana propaganda hasa za kuwafurahisha viongozi wasiowataka na wanaotafutiwa sababu za kulegeza msimamo au kuwamaliza!
Tangu Dk JPM aingie madarakani na kuanza kuwabana wazungu kumekuwa na kila aina ya report kutusifia, Mara, uchumi wetu unakua kwa kasi zaidi Africa, Mara jpm Rais Bora Africa....
Hii ni hatari sana, wanajaribu kumlegeza awe km viongozi wengine wa Africa ili wafanye wanachotaka wao
Ogopa sana hizi report zenye kuisifia nchi especially kwa nchi inayowabana wazungu na wezi wengine km ya kwetu hasa awamu hii.
Hizo report sio za kuzichekea hata Cku moja, mataifa ya magharibi wanajua sana propaganda hasa za kuwafurahisha viongozi wasiowataka na wanaotafutiwa sababu za kulegeza msimamo au kuwamaliza!
Tangu Dk JPM aingie madarakani na kuanza kuwabana wazungu kumekuwa na kila aina ya report kutusifia, Mara, uchumi wetu unakua kwa kasi zaidi Africa, Mara jpm Rais Bora Africa....
Hii ni hatari sana, wanajaribu kumlegeza awe km viongozi wengine wa Africa ili wafanye wanachotaka wao
Wamewekewa N/A, yaani hao watafiti wala hawakuwa na sababu ya kwenda kufanya utafiti wao huko, kwasababu ni nchi inayojulikana duniani kwamba 62% ya uchumi wote upo mikononi mwa watus 8300, sasa waende kufanya nini katika nchi ya namna hiyo?.watani wa jadi hali ikoje?
Ukijua anachokifanya magu hutashangaa hizo reportOgopa sana hizi report zenye kuisifia nchi especially kwa nchi inayowabana wazungu na wezi wengine km ya kwetu hasa awamu hii.
Hizo report sio za kuzichekea hata Cku moja, mataifa ya magharibi wanajua sana propaganda hasa za kuwafurahisha viongozi wasiowataka na wanaotafutiwa sababu za kulegeza msimamo au kuwamaliza!
Tangu Dk JPM aingie madarakani na kuanza kuwabana wazungu kumekuwa na kila aina ya report kutusifia, Mara, uchumi wetu unakua kwa kasi zaidi Africa, Mara jpm Rais Bora Africa....
Hii ni hatari sana, wanajaribu kumlegeza awe km viongozi wengine wa Africa ili wafanye wanachotaka wao
World Economic Forum imeitaja Tanzania kuwa nchi namba moja kwa mwaka 2018 katika UCHUMI JUMUISHI (Inclusive Economy) katika nchi za Africa, ikishika namba 48 katika Emerging Economies duniani!