Tanzania ni kweli nzuri sana kwani ruksa kula kulingana na urefu wa kamba yako mradi usivimbewe.Ripoti iliyotolewa inaonesha Tz ni namba 4 kwa uzuri duniani.
Nchi ya kwanza ni Indonesia, ikifuatiwa na New Zealand, Colombia na Mexico. Kenya wameingia kumi bora pia kwa kushika namba 6.
Kenya ranked sixth beautiful country in the world
A new global report has ranked Kenya among the top 10 most beautiful countries in the world. The Natural Beauty Report by money.co.uk placed Kenya at position six with a beauty score of 6.7 out ofnairobinews.nation.co.ke
Ndio maana mkenya mmoja akasema,inamaana hamkujua ya kwamba bustani ya edeni ilikuwa serengeti na ngorongoro?
hata fuvu la mwanadamu wa kwanza adam liligunduliwa olduvai gorge hukohuko karibia na serengeti na ngorongoro.
Kwa lipiNdio maana mkenya mmoja akasema,
Jinsi mambo yanavyoenda, utadhan hii nchi ni mtoto pendwa wa Mungu
HaaaahaaaaaTanzania ni kweli nzuri sana kwani ruksa kula kulingana na urefu wa kamba yako mradi usivimbewe.
Mbona inaonesha toka Kenya, hawa wazungu wa Kenya balaa.Ukisifiwa na mzungu juwa
Kuna kitu unaviziwa
So kuwa makini na sifa zake
Kuna ukweli wanataka kuuficha ivo.
Maajabu yapo Africa ya kati [emoji57][emoji57][emoji57]
...akili za MwendazakeUkisifiwa na mzungu juwa
Kuna kitu unaviziwa
So kuwa makini na sifa zake
Kuna ukweli wanataka kuuficha ivo.
Maajabu yapo Africa ya kati [emoji57][emoji57][emoji57]
[emoji817]Tanzania ni kweli nzuri sana kwani ruksa kula kulingana na urefu wa kamba yako mradi usivimbewe.