[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Utaskia hata hvo walicheza vizuri
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona msaada umebaki kwa kipa tu wengine hawa wakitishiwa chenga wanapeleka makalio!
Hata mimi nataka kujuaChanel gani inaobyesha mechi ya stars vs Mauritius Leo?
Timu ya Taifa ni genge la wahuni tuHii thread ni ya kufuta
Haina updates hivyo haina umuhimu
ZBC 2Jamani game ya leo algeria na tanzania wanaonyeeha channel gani
ndo timu hatuna budi kuivumiliaTimu ya Taifa ni genge la wahuni tu
Poa ngoja tuongeze uvumilivu maana game ijayo tena Congo hawatuachi salamando timu hatuna budi kuivumilia
Poa ngoja tuongeze uvumilivu maana game ijayo tena Congo hawatuachi salama