Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

anamsifia fisadi
kapa kwamba ameweka msingi mzuri. msingi gani kama si wa ufisadi
 
kamaliza ufisadi na sasa kaingia kwenye uchumi,haya sasa
 
sasa kaingia kwenye uchumi,,, anaanza kujisifia eti uchumi unaimarika..... jamani hiyo ni kweli? mbona tunadanganywa,,,, mbona anatoa macroeconomic indicators badala ya kuelezea mtu wa chini uchumi wake umekuaje...
 
Data za kukua kwa sekta mbalilmbali, kila sekta inaonyesha kukua ila kilimo kinakua kidogo sana, pato la taifa limeongezeka na wasitani wa pato la mtanzania limepanda.

ila umasiki bado ni mkubwa sana
 
anasema kuna ongezeko la pato la taifa trilioni 21 ni kweli????
 
Amesifia sana TAKUKURU.
Nawaona akina Hosea, Tendwa, Mwamunyange, Mwema wako ndani.
Kasema vita ya rushwa imefanikiwa kwa kiasi kikubwa
 
Lakini sheria hii itatumika kwa chaguzi zijazo sio hizi
 
You could have done this earlier coz this jamaa aint for Tanzania Development.Mie nimeaanza kusikia njaa..anaboa na nina uhakika hata wabunge wenyewe walishaanza kuboreka,



Katika hotuba nzima,point moja niloiona ni hiyo tu ya kutoa kauli ya whether zanzibar is a state or not,nyingine zote ni zile zile hadithi zinazotolewa na mawaziri bungeni,tofauti tu leo zimetolewa na mkuu wa kaya mwenyewe.
 
hii hotuba ameandika mwenyewe au kuna secretary kamwandikia???naombeni jibu ili niondoke mapema hakuna point hapa..
 
Anadanganya wadanganyika kuwa thamani ya shilingi imepanda wakati inashuka kila siku hata rwanda na burundi wanatuzidi sasa.

Deni la taifa limepungua.
 
kweli kazi ipo,basi kwa sasa kuna mpira kati ya german na japan,kisha utafuatiwa na mpira kat ya brazili na usa mwaweza kujifariji hapo
 
Hotuba ndefu sana ya nini,alishazungumza mwish wa mwezi uliopita ,hapa ilikuwa ni sehemu ya kuongelea mambo mahimu yanayolilhusu Taifa.

Anasema tumeacha kukopa?kwasabbu hiyo uwiano wa deni la taita na pato la taifa limeshuka toka asilimia 90 tok amiaka ya nyuma na sasa iko asilimia 23.

anasema sasa hivi tanzania tunakopesheka.

Unaona anvyojicontradiction..waliacha kukopa sasbbu walikuwa hawakopesheki..yaani
 
Salva hamtendei haki Rais wetu. Namfahamu kupitia maandishi yake makali alipokuwa Rai, Mtanzania. Kwa nini hamsaidii vizuri Rais kwenye kuandaa hotuba hizi?
 
deni la taifa limepungua kutokana na msamaha...

Tanzania imeacha kukopa ndani...ila tunakopesheka nje badala ya kuomba misaada tu.
 
Na hakika wabunge wameboreka... Mkuu kajisahauu kwamba anahutubia wabunge... kasahau kwamba anachokisema ndicho walichokuwa wakijadili muda wote huu... hata nasi "wanainji" hizi sio habari mpya, we have heard it before.. masuala ya kukopesheka yameanza enzi za Mkapa...

Endeleeni kusuburi, you know what is next.. Safari za nje....
 
anamsifia fisadi
kapa kwamba ameweka msingi mzuri. msingi gani kama si wa ufisadi

Hata kama Mkapa ni fisadi ni kweli aliacha msingi mzuri wa uchumi wetu so anastahili pongezi za kuacha msingi mzuri wa uchumi(ingawa bado ana tuhuma za ufisadi)
 
hivi kweli kwa nini tunajisifia kuwa sisi sasa tunaweza kukopeshwa...kwa nini tusijifie sisi sasa hatuna haja ya kukopa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…