Literally hichi kitambulisho sioni maana yake. Expectations zilikua ni kwamba kitambulisho kingeweza kurahisisha baadhi ya mambo. Sahivi unahitaji passport bado ufate procedures za barua kutoka kwa ofisi sijui za mtaa. Wakati upatikanaji wa kitambulisho umefata mlolongo huo huo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kubebelea vitambulisho vingi kama madeni ya walimu.Tunahitaji kitambulisho kimoja ambacho kitakua smart card kitakachoweza kubeba
1 taarifa za msingi za mhusika(awali)
2 taarifa bank kwa wafanyakazi
3 taarifa za account kwa wasiowafanyakazi
4 taarifa za afya kama vile bima za afya zote ziwe ndani ya hicho kitambuisho
5 taarifa za kijamii kama vile viongozi wa jamiii
6 taarifa za kisiasa
Na hichi kitambulisho kinakua na uwezo wa kuwa update any time where necessary,
Yaaaàani kunakua na nafasi maerufu ndani ya kitambulisho ili kumtambulisha mtu katka nafasi ama kitengo fulani, kuhusu kitambulisho cha nida tumepigwa na kitu kizito, hicho kimebeba taarifa za umri, mahali ulipozaliwa, wazazi wako na mahali ulipokatia kitambulisho, serikali imetumia gharama kubwa sana kuwapeleka watu China ili wajifunze mfumo wa kitambulisho cha kule na waje kutengeneza kwa watanzania but it was extravagance of time and money,
Time to wake up and change.
Good QuestionHivi kwa nini wanaweka mwisho wa matumiz wa identity card. Mfano Nida
Nadhani hili serikali imeliona ishasitisha ukomo wa nidaHivi kwa nini wanaweka mwisho wa matumiz wa identity card. Mfano Nida
Enzi hizoUMUHIMU WA KITAMBULISHO
Vitambulisho vya Taifa ni chachu ya maendeleo ya Kiuchumi, Kijamii na Kisiasa.
- Vitasaidia kuongeza wigo wa mapato ya Serikali
- Vitasaidia kumtambua mhusika kirahisi anapohitaji kupatiwa huduma katika taasisi mbalimbali kama vile benki, taasisi za mikopo na huduma za afya.
- Vitarahisisha kuwatambua wakwepaji wa kurejesha mikopo kutoka kwenye benki na asasi mbalimbali za fedha nchini.
- Vitasaidia kuweka kumbukumbu za matukio ya uhalifu katika daftari la kumbukumbu la kielektroniki.
- Vitawezesha kumtambua mtu anapofanya biashara au shughuli nyengine kwa kutumia majina tofauti.
- Vitafanikisha kuhakikisha kuwa mtu anapata stahili zake za jamii. Kwa mfano, kupata malipo ya pensheni, haki za matibabu, haki za kujiunga na masomo ikiwa ni pamoja na stahili zozote ambazo raia wa Tanzania anastahili kupata kirahisi kwani kupitia kitambulisho mtu atatambulika kirahisi(nani ni nani?, yuko wapi?, na anafanya nini? katika taifa hili.
- Vitasaidia kuondoa watumishi hewa kwenye mfumo wa malipo ya mishahara ‘payroll’ ya Serikali.
- Vitaimarisha utendaji kazi Serikalini kwa kuwa na kumbukumbu sahihi za watumishi na malipo ya stahili zao, hasa pale wanapostahafu.
- Vitarahisisha zoezi la kuhesabu watu (sensa).
- Vitarahisisha zoezi la kuhuisha daftari la wapiga kura, ambapo kwa sasa hufanyika mara mbili kabla ya uchaguzi mkuu.
Process ya nini. Ni kufuata kitambulisho chako.Nilitumiwa sms ya kuwa kitambulisho tayari kipo ofisi niliyosajilia , ni kama miaka miwili imepita. So wiki hii nataka. Niende kukichukua , je nitakuta process gani tena nazoweza fanya ili kukichukua kitambulisho ?
Acha tu. Unakuta mtu mmoja anaSasa mtu anapassport nje ya nchi mnamtengenezea kitambulisho chanini kama sio ufisadi tuu
Affidavit.Wana JF naombenushauri nimerekebisha cheti cha kuzaliwa kwasababu kilikosoaewa majina ila nilisha sajiri NIDA kwa majina yaliyo kosewa je nifanye nini ili majina ya NIDA yabadirike
Nina affidavit ila sijui pakuanzia ilikubadili nidaAffidavit.
Nenda ofisi za NIDANina affidavit ila sijui pakuanzia ilikubadili nida